Jing chu
JF-Expert Member
- May 9, 2019
- 385
- 592
Wakuu haka ka weekend ka leo kazuri nimetulia home napitia pitia threads humu. Ila kuna kitu nimegundua, najua kuna watu humu walishapata wenza na wengine wamekosa kabisa
Baada ya kupitia threads zao wale naoweza kuwaita clients (wateja wanao tafuta wateja wenzao) nimegundua wengi umri wao umeenda zaidi ya 29 years na wengi wao ni wanawake
Lakini kwa wanaume ni % chancelakini wengi wao ni vijana wasio zidi miaka kati ya 20-27 na hapa utagundua kuwa hawapo serious wana enjoy comments na charting pekee kidogooo wamepigwa chini na videmu vyao
Nyie wakubwa KE kama mpo serious kweli angalieni kuna madogo humu wanawachezea akili
Nilikuwa najaribu kuwatoa tongotongo baadhi ya wasiofahamu hili
Bado naendelea kuenjoy ka weekend, wasalaaam.