95% ya wanao tafuta wachumba humu wana umri mkubwa hadi wanajishtukia

Jing chu

JF-Expert Member
May 9, 2019
385
592
Wakuu haka ka weekend ka leo kazuri nimetulia home napitia pitia threads humu. Ila kuna kitu nimegundua, najua kuna watu humu walishapata wenza na wengine wamekosa kabisa

Baada ya kupitia threads zao wale naoweza kuwaita clients (wateja wanao tafuta wateja wenzao) nimegundua wengi umri wao umeenda zaidi ya 29 years na wengi wao ni wanawake

Lakini kwa wanaume ni % chancelakini wengi wao ni vijana wasio zidi miaka kati ya 20-27 na hapa utagundua kuwa hawapo serious wana enjoy comments na charting pekee kidogooo wamepigwa chini na videmu vyao

Nyie wakubwa KE kama mpo serious kweli angalieni kuna madogo humu wanawachezea akili

Nilikuwa najaribu kuwatoa tongotongo baadhi ya wasiofahamu hili

Bado naendelea kuenjoy ka weekend, wasalaaam.
 
Sasa bro kwani kuwa na mahusiano na Dem mwenye miaka 29+ ni vibaya? Heb acha kutuharibia mkuu sisi wengne tunapenda waliotuzid umri
 
Kweli mkuu! Mimi mwenyewe hapa nina miaka 21 tu!🙄 na kesho Jpili narudi zangu skuli kumalizia masomo yangu ya kidato cha sita kwenye shule fulani hivi ya masela watupu huko Mkoani Mbeya.
 
Kakomae na masomo big tukutane ofisini siku moja
Kweli mkuu! Mimi mwenyewe hapa nina miaka 21 tu! na kesho Jpili narudi zangu skuli kumalizia masomo yangu ya kidato cha sita kwenye shule fulani hivi ya masela watupu huko Mkoani Mbeya.
 
Haha.. raha ya jf ni kuingia na kukuta PM kuna tumesej umetumiwa na mchumba. Sio unaingia hukut ktu Inatiaga hasira sanaa
 
Back
Top Bottom