90% Ya Botswana wana HIV

Wakuu mliopo Botswana na mnaotegemea kusafiri kuelekea huko na nyie wengine mlio na plan za kuoa huko hiyo ndiyo habari
source BBC Africa
Mkuu hapo sijakuelewa.

Population
-2010 estimate2,029,307[SUP][1][/SUP] (144th)
-2001 census1,680,863
-Density3.4/km[SUP]2[/SUP] (229th)
8.9/sq mi

aids_africa.jpg

Hebu iangalie Botswana hapo na utuambie kama ni 90% kweli?
 
2009 nilipata nafasi ya kutembelea south africa na ilibidi niwaulize wenyeji vipi wakati wa kuduu mnafanyaje? Wale wadada wakaniambia kwa kweli huku watu wanapenda sana pekupeku halafu kibaya zaidi wanataka msuguano wa hali ya juu kwa maneno mengine hawataki MASHINE zenye majimaji hivyo huwa tunalazimika kuzikausha kabisa otherwise mwanaume atakukimbia , yaani hawataki kabisa kale kautelezi (mucus). Hili ndilo linalochangia kwa ailimia 100% mchubuko na hivyo kupata kirahisi maambukizi ya ngoma.
 
Wanazikaushaje mashine? Sidhani kama hiyo inawezekana.
 
Jamani mbona hata sisi raisi wetu ana HIV lakini anaishi maisha ya kawaida tuu? Basi tusiogope hivyo virusi.
 
2009 nilipata nafasi ya kutembelea south africa na ilibidi niwaulize wenyeji vipi wakati wa kuduu mnafanyaje? Wale wadada wakaniambia kwa kweli huku watu wanapenda sana pekupeku halafu kibaya zaidi wanataka msuguano wa hali ya juu kwa maneno mengine hawataki MASHINE zenye majimaji hivyo huwa tunalazimika kuzikausha kabisa otherwise mwanaume atakukimbia , yaani hawataki kabisa kale kautelezi (mucus). Hili ndilo linalochangia kwa ailimia 100% mchubuko na hivyo kupata kirahisi maambukizi ya ngoma.
Wanichekesha! kwa hiyo ukiwa na ule utelezi huambukizwi HIV? kirahisi? Kweli kuna sehemu inacheza ila usije ukafikiria sababu mwanamke anateleza hawezi kukuambukiza. kumbuka humo humo ndani ya maji hayo ndio virusi vinaogelea!
 
Utelezi ni kama grisi yaani inazuia michubuko. Michubuko ndiyo inayopenyesha virusi. Ndiyo maana utelezi ni muhimu. Lakini hiyo ya kukausha utelezi sidhani kama inawezekana.
 
Back
Top Bottom