RO7 ZA MGOS
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 2,388
- 6,913
Yaaa nmewahi kumsikia kwahiyo mwamba unamaniisha kizaz hao kitalaam wanaita fallen angel...kiliendelea had leo ...naomba nikwambie kizaz cha wanefil na wote hao kilipitaa kikaja kizaz kingine na ww n shahid hujawahi ona generation zao to date..soo nipe connection ya topic sasa mwambaMijitu hiyo ya mwanzo ni Nephilim(wanefili).Halafu ndio goliath.Je King wa bashan,uliwahi kumsikia?
Kuna baadhi ya vitabu kwenye Biblia vilitolewa kwa sababu ziszojulikana(mimi sio mtaalamu wa Biblia)moja ya kitabu hicho ni kitabu cha Enock(enoch),kina historia kubwa ya ulimwengu huu.Yaaa nmewahi kumsikia kwahiyo mwamba unamaniisha kizaz hao kitalaam wanaita fallen angel...kiliendelea had leo ...naomba nikwambie kizaz cha wanefil na wote hao kilipitaa kikaja kizaz kingine na ww n shahid hujawahi ona generation zao to date..soo nipe connection ya topic sasa mwamba
Ok asante kwa kutoa opinion zake ...gd nt manKuna baadhi ya vitabu kwenye Biblia vilitolewa kwa sababu ziszojulikana(mimi sio mtaalamu wa Biblia)moja ya kitabu hicho ni kitabu cha Enock(enoch),kina historia kubwa ya ulimwengu huu.
Kwani ubaguzi ni kwa weusi tu mf south Africa wazungu si ndio wanabaguliwaKwa japan mkuu nakataa.
Japan watu weusi wanakubalika sana.
Sasa hao wasudani,ndio waarabu wenyewe,ambao hawajachanganya na weupe(wazungu).Hata neno Sudan,kwa kiarabu,maana yake ni weusi.Neno SAUD ARABIA(tafsiri:Waarabu weusi),hii ni nchi,Ina jina hilo.Hakuna nchi,yoyote ya kiarabu inayojiita Abiadh(weupe)Arabia(waarabu weupe).Ila ipo Sudan(tafsiri:Weusi) Saud Arabia(waarabu weusi).Kwa hiyo muarabu,kmbagua mtu mweusi,anajibagua mwenyewe(anajibagua asili yake,kabla ya kuwa chotara wa kizungu na mtu mweusi).Siyo kwamba kuna waarab weupe na waarabu weusi kama vile Wasudan?
Edit kidogo, bora mzungu mlawiti sio blac kasisi…Hata wazungu msemo wao ni kama huo usemao; Ni bora padri mzungu awe mzinzi kuliko padre awe mtu mweusi asiye mzinzi.
Kwenye treni baada ya muda utaikuta pke yako kwenye hiyo sitiKwa japan mkuu nakataa.
Japan watu weusi wanakubalika sana.
Alafu kuna wamanyema wa jf kina mze mohamed said kutwa kuwatukuza hao waarabu.Waarabu wana msemo wao..unasema ni bora shehe awe mlevi kuliko shehe kuwa mweusi..
Hapana, hasa katika ubaguzi wa RANGI. Sikubaliani na hiyo List kwakweli, yaan hapana, hapana, hapana. Kuna Nchi zina kiwango kikubwa sana cha UBAGUZI WA RANGI tena saaaaaana.Nakubaliana na wewe; ubaguzi popote duniani upo hata ndani ya familia yako upo sema unatofatiana kiwango. Hiyo list iliyowekwa humu ya nchi ZINAZOONGOZA kwa ubaguzi haimaanishi nchi nyingine hazina ubaguzi including hizo ulizotaja; hata Tz ubaguzi upo.
Swali langu liko pale pale; unakubaliana na matokeo ya utafiti kwamba nchi zinazoongoza kwa ubaguzi ni India, Lebanon, Bahrain, Libya, Egypt, Philippines, Kuwait, Palestine, and South Africa in that (descending) order?
Usituletee nchi zako kutaka kuhalalisha mbona hata kule ubaguzi upo wakati inafahamika kila mahali upo ila unatofatiana kiwango tu. Hoja hapa ni "extent" ya ubaguzi.
... very funny unapinga tafiti za kisayansi bila kuleta majibu kinzani ya kisayansi pia. Hivi ukitembelea Dubai, Cairo, Delhi, Mumbai, Beirut, Manila, Tripoli, et. al. (I mean capital and commercial cities) ambako kuna mchanganyiko wa kila rangi unadhani utauona huo ubaguzi wa rangi? Utafiti umeenda chini kule kwenye grassroots kwa wananchi wenyewe.Hapana, hasa katika ubaguzi wa RANGI. Sikubaliani na hiyo List kwakweli, yaan hapana, hapana, hapana. Kuna Nchi zina kiwango kikubwa sana cha UBAGUZI WA RANGI tena saaaaaana.
Hiyo list ipo katika kusafisha mataifa ya Magharibi tu, lkn binafsi nimetembea, Uarabuni hakuna kiwango hiko kikubwa cha Ubaguzi ukilinganisha na WAZUNGU. Hata India sio kihivyo, maana na wenyewe theluthi moja ni WAHINDI WEUSI tena kama weuzi wa KENYA ule.
Duh! Basi kazi ipo.Huko kuna ahueni.
Hii list ina mlengo fulani. [emoji848]Hata na mimi nashangaa mbona wameweka nchi za Asia na North Africa tu hakuna America wala Eastern Europe?
Egypt haipaswi kuwa kwenye list kwa kweli wale wamechanganyika sana hata hao waarabu weupe ni wachache kuliko hao mchanganyiko.
Upo sahihi kabisa. Kwanza angalia source ya utafiti wenyewe ni nani, utafiti umefanyika kwa njia gani, nchi ngapi zimehusishwa na questionnaire imekuwa framed vipi?Hii list ina mlengo fulani. [emoji848]
Ndipo uwezo wako wa kufikiri ulipoishia hapo? What a pity!Waarabu ni viumbe vya ajabu sana duniain wanachuki mbaya ila wanenyimwa maarifa
Dunia inaendeshwa. Unachokiona ni wakubwa wanataka ukione.Upo sahihi kabisa. Kwanza angalia source ya utafiti wenyewe ni nani, utafiti umefanyika kwa njia gani, nchi ngapi zimehusishwa na questionnaire imekuwa framed vipi?
List ipo kwa ajili ya kuzisafisha nchi za wazungu na washirika wao kuonekana zina nafuu kwenye ubaguzi. Mfano, unapowauliza wapalestina kama wapo fresh kuishi na race nyingine unategemea jibu gani wakati white zionists ndio wageni kwao na wanawalipua kila siku lakini pia Palestine haitambuliki kama nchi kwanini kwenye huu utafiti tena wa wamarekani ghafla wameitambua wakati huohuo Israel yenye eneo kubwa na watu wengi haijaguswa,south Africa hakuna Apartheid leo na weusi wanaongoza sasa wameingiaje kwenye hiyo list,Egypt, Kuwait, Phillipines na Bahrain huo ubaguzi wanamfanyia nani alafu hata tukisema ubaguzi upo je ni kwa kiwango cha kufikia watu kufanya jinai na kuwakosesha minorities fursa za kiuchumi kama baadhi ya nchi za magharibi na mashariki ya kati.
Kinachoshangaza zaidi kwenye hio list hakuna Saudi Arabia, UAE wala Qatar(wote washirika wa Marekani) wakati ndio nchi ambazo visa vingi vya ubaguzi vinaripotiwa.
South America kuna Chile ambayo indigenous people(Mapuche) wamenyang'anywa ardhi na settlers wa kizungu, wakidai ardhi yao wanapigwa risasi. Kuna Brazil pia ambayo wakazi wa kwenye favela wengi ni weusi wa wahindi wekundu ambao bado wanatengwa kwenye nafasi za kazi na biashara matokeo yake wanakuwa wauza madawa tu.
Wametaja 9 tu, hivyo nyingine nyingi tu zinakuja baada ya hizo....huenda hata Bongo tupo.Hakuna nchi ya argentina wala urusi, italia na ukraine?