Unajua haya mambo ya kusema kitu fulani kitaleta watalii au kitaleta wawekezaji bila kuandaa takwimu ni bogasi.
Kwa miaka mitatu tumesikia matangazo katika CCN kuhusu Tanzania, majina ya Tanzania kwenye shuttle za airport huko UK, na mengine mengi. Tusiyosikia ni implication za yote haya, jee ni kwa asilimia ngapi hizi advertise zimeongeza revenue kwenye sector hizo binafsi? Sasa wanasema mkutano wa Sulvian utasaidia kuboost revenue kwenye swala zima uwekezaji na utalii. Swala linakuja how can Mr. Membe prove that?
Last weekend nilihoji jee hizi advertise tunazofanya zimechangia kwa asilimia ngapi growth ya revenue relative na sunk in cost? Majibu niliyopewa ni kwamba mwaka huu tumekusanya fedha nyii kwenye sector ya utalii, nilipouliza jee tumechanell kwa percentage hao watalii wametoka kwenye sehemu tulizofanya advertise? Jee tumeweza kufanya takwim tukaona kama watalii hao wengi wamekuja kwa sababu ya kuona advertisement au? Majibu niliyopata yalikuwa labda au i am not sure.
Sasa ni aibu waziri mkuu anaposimama kwenye public akasema kwamba eti huu mkutano utaboost sector ya uwekezaji na utalii wakati hakuna kitengo kitakacho prove hayo. Madhara yake tutaendelea kupoteza pesa kwa kitu kisicho na return propotional na outlay.
Hili ndio tatizo la Tanzania, tunapenda sana kufanya assumption zisizo na kichwa wala miguu. We need to conduct study kabla hatujafanya maamuzi yanayogharimu million ya shilling.