8th house(nyumba ya nane)

8th house(nyumba ya nane)

Mmmmhhh.... Haya mambo ya nyota haya, ngoja niyaache maana kuna wakati niliyafatilia nikajua kwamba nyota yangu na ya mme wangu havipatani/haviendani na ndio sababu ya migogoro katika ndoa.

Eti solution ni kuachana... Subutuuuu, mjini tutabanana hivo hivo hizo nyota ngoja zigongane mpaka zigeuke mwezi!!!
[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji16][emoji23][emoji2][emoji23][emoji23][emoji2][emoji23]
 
mshana jr miye nyota ni Libya ss sijui jlhapo mlango gani? Nimejua nyota kutokana na magazeti haya ya nyoata yenye tarehe na mwezi.
 
Sasa Mimi nimezaliwa 8th October jina linaanzia na L. Sijui nyota Yangu ni IPI hapo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna kuangalia nyota kwa
Kufuata herufi
Kufuata miezi
Kufuata tarehe ya kuzaliwa
Kufuata card za tarrot nk
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna kuangalia nyota kwa
Kufuata herufi
Kufuata miezi
Kufuata tarehe ya kuzaliwa
Kufuata card za tarrot nk

Duuuhh kazi ipo nimebaki empty set, kumbe sijui lolote miye nilikuwa nafuata hayo magazeti tuu.
 
Mshana, asante kwa ilm unayoitoa hapa JF ambayo kwa kweli mtu hawezi kuipata katika shule zetu hizi. Hongera sana.

Lakini niseme tu kuwa mbona naona unachojaribu kukielezea kuhusu hizi NYUMBA na hasa nyumba ya 8 vinashabihiana sana na ninachokijua mimi kuhusu MILANGO na pia mlango wa 8.

Bahati nzuri nilikaa darasani kama semesta 6 hivi kujifunza unajimu (Astrology) baada ya kusoma Astronomy (zote zilikuwa hobbies tu).

Sasa pale mwanzoni mwa mada yako uliposema kuwa nilichokielezea mimi kuhusu MILANGO ni tofauti na unachokielezea wewe kuhusu NYUMBA basi nikawa kimya ili nijifunze ilm mpya.

Nimefuatilia mada mpaka sasa na naona tofauti chache sana. Nitazielezea hizi tofauti nilizoziona kama utahitaji.
 
Back
Top Bottom