8th house(nyumba ya nane)

8th house(nyumba ya nane)

Si unaona sasa hapa kidogo ufahamu unaanza kuja na utamu na tashishwi ya kutaka kujua zaidi unanijia thanks brother.

Hapo mkuu nimekupata nshaielewa shukran kwa kinielewesha

Sent from my SM-E700H using JamiiForums mobile app
Duu Asanteni saana ngoja tutaendelea kuinyumbua kwa njia rahisi zaidi lakini kiufupi hii ni mbadala wa mlango wa nane. ..twendeni taratibu tutafika
 
Nimetoka kapa
Nyota yako ni nge? Basi hapa pana kuhusu
1454785697614.jpg
1454785704205.jpg
 
Saa hizi nshalewa........
Hebu nielekeze......Mimi nipo nyumba ya ngapi......?...ili nijue.....
 
1454820426904.jpg
nyumba ya nane inakuwa maalum kwakuwa ndio inahusika na uzazi na kifo, bila uzazi hakuna kifo na bila kifo hakuna uzazi
 
Vp nyota ya mshale mshana Jr hapo ? na je zinatutawalaje ktk maisha ya kila siku ?
 
Back
Top Bottom