Idimi
Platinum Member
- Mar 18, 2007
- 15,670
- 11,771
More than 5 vidole ...
Anachong'ata sio kidole. Hicho anachong'ata kimezidi kidogo kule chini kwenye mikunjo ya vidole.
More than 5 vidole ...
He wewe mi sitaki kesi ujue je kama wife ana account humu jf akipita hapa akiona ulivyonisisfia si utaniponza mwenziyo?Halafu wewe unanifikisha utadhani mke wangu, unajua kuzigusa sehemu zote nyeti. LOL
Mke wangu hata JF inapatikana mtaa gani hajui na hata akijua kwani wewe mumeo anafahamu hiyo avatar na jina ni mali yako?He wewe mi sitaki kesi ujue je kama wife ana account humu jf akipita hapa akiona ulivyonisisfia si utaniponza mwenziyo?
haaaaaahaaaaaaaaahaaaaaa sio mapwenti hayo haya grafani11 basi tuendelee na uwizi wetu ila tukishikwa sijui itakuwaje????cam zis wei basiiii.Mke wangu hata JF inapatikana mtaa gani hajui na hata akijua kwani wewe mumeo anafahamu hiyo avatar na jina ni mali yako?
Usihofu baby mm ni wako tu bhana...
niache kuja sijipendi!
Sipalepale pa jana au leo tubadilishe?Teh teh teh nakusubiria basi mwenziyo.
Huoni....
Sipalepale pa jana au leo tubadilishe?
Halafu wewe unapenda kuniachia kila kitu mpaka wanichanganya mwenzio.Chagua wewe banah,mi nakuliseni tu wewe.
Halafu wewe unapenda kuniachia kila kitu mpaka wanichanganya mwenzio.
Ahsante kwa zawadi.haya nafanya uamuzi basi palepale pa jana sawa eehhh?furahi basi.