Mkuu, hujasikia mtu anauza nyumba ya urithi ili ajenge heshima kwa nyumba ndogo?..ha ha haaa!
Shida kuba ni kwamba labda nyumba ndogo wanajua zaidi hii rule kuliko mama wenye nyumba, na hivyo wanaboresha hiyo part yao kila kukicha, wakiiongezea manjonjo na kuipaka rangi mpya, tofauti na jana!:coffee:
Amesema kwa lugha nyepesi, sio direct translation.Hata kama kiingereza sio mother-tongue, asilan 'mafanikio' na 'juhudi' sio tafsiri sahihi ya 'consequences' na 'causes', respectively.
mwandiko.Hata kama kiingereza sio mother-tongue, asilan 'mafanikio' na 'juhudi' sio tafsiri sahihi ya 'consequences' na 'causes', respectively.
Ni kweli juhudi kubwa lakini unachokipata in returns huwa ni kidogo sana! Hebu kuwa umefukuzwa kazi na biashara zimeharibika mkeo atakuwa na wewe bega kwa bega nyumba ndogo itakuambia uchukue ustaarabu wako 80/20 rule!
Amesema kwa lugha nyepesi, sio direct translation.
Kuna kitu anataka prove dawa yake ni kum-ignore!
Huwezi kupotosha maana ya maneno kwa kisingizio cha lugha nyepesi. Kama maana halisi ya maneno yaliyotumika ina mushkeli, the same itakuwa kwa tafsiri yake.
Mnanyweshwa uongo.
Mkuu Fidel80 anaingia sana usiku siku hizi box sana nini?
Mkuu Fidel80 anaingia sana usiku siku hizi box sana nini?
Kwani unadhani wakiwa bize huko nyumba ndogo wanakua hawajui??:twitch:Vichwa ngumu tu.....mtu akianza kuumwa au akikumbwa na janga ndo anamkumbuka mama naniii wake!!!!!Wakati huo ana mahitaji zaidi ya anayoweza kutimiza!:sick: