Jimmywatanzania
JF-Expert Member
- May 8, 2015
- 514
- 275
All Gore kilichompata ni uwizi wa bush kwenye kura
Ok.naliona hili zengwe kwa mara nyingine.Wanaweza pata mshindi kiutata utata.All Gore kilichompata ni uwizi wa bush kwenye kura
OkThat is a fake story first published by World News Daily Report, a known fabricator of all kinds of stories. Ni kama hadithi za madai kwamba Trump alisema nini sijui atamfanyia Mugabe au Museveni. Ni fake news.
Mkuu, some disclaimer yao hapa: DISCLAIMER
Wenyewe kwenye website yao yenye link wanasema hivi: WNDR assumes however all responsibility for the satirical nature of its articles and for the fictional nature of their content. All characters appearing in the articles in this website – even those based on real people – are entirely fictional and any resemblance between them and any persons, living, dead, or undead is purely a miracle.
In other words, they make up stories.
You mean HC is homosexual?There is artificial Democracy in United States of America, it will be very very shameful to have a lesbian in the White House
Bush hakuiba kura bali Al Gore,alipoteza majimbo yenye kura nyingi za Electoral college na akashinda kwa wingi wa kura za watu wa kawaida,kwa maana hiyo,Gore alipata kura nyingi za mtu mmoja mmoja lkn kura za kuamua urais alishinda Bush.Huwez kulinganisha vijimbo vidogo na majimbo kama FloridaOk.naliona hili zengwe kwa mara nyingine.Wanaweza pata mshindi kiutata utata.
Halafu pia mkuu,nawaza hivi huyu trump anajiamini nini kiasi kwamba anadiriki kusema huku akirudia rudia kuwa ndani ya siku mia moja akiwa rais atawafukuza wahamiaji wote.Ina maana kura za wahamiaji hazitaki au wahamiaji hawapigi kura?