7 sins u must never commit against a woman...

7 sins u must never commit against a woman...

[h=5]
1. Don't beat her
2. Don't verbally abuse her
3. Don't disrespect her
4. Don't make her feel unloved
5. Don't Rape her
6. Don't cheat on her
7. Don't ignore her Love Languages.
Give her kindness, she'll give u
LOVE
Give her smiles, she'll give u
LAUGHTER
Give her your heart, she'll give u
her LIFE
Give her a house, she'll give u a
HOME
Give her an idea, she will give you
a PLAN.
Give her sperm, she'll give u
BABIES
Treat Her Like a Queen, She ll
make u a
KING.
LOVE her, and she'll SUBMIT
herself!
Sin against her and She will make
your life
MISERABLE
and Running over she will send
your soul to
hell.
[/h]

well analyzed
 

1. Don't beat her
2. Don't verbally abuse her
3. Don't disrespect her
4. Don't make her feel unloved
5. Don't Rape her
6. Don't cheat on her
7. Don't ignore her Love Languages.
Give her kindness, she'll give u
LOVE
Give her smiles, she'll give u
LAUGHTER
Give her your heart, she'll give u
her LIFE
Give her a house, she'll give u a
HOME
Give her an idea, she will give you
a PLAN.
Give her sperm, she'll give u
BABIES
Treat Her Like a Queen, She ll
make u a
KING.
LOVE her, and she'll SUBMIT
herself!
Sin against her and She will make
your life
MISERABLE
and Running over she will send
your soul to
hell.

Umesema kweli ndugu,kikubwa ni pande zote 2 kuchukuliana sawa
 

Give her an idea, she will give you
a PLAN.



Yote tisa ila hiyo nilobakiza ndo mambo yote. Hakika mwanamke ni wa ajabu sana, ukimwanzishia kitu chochote ukampa asimamie kinaenda vyema. Lakini yeye akitaka kuanzisha kitu ukam-support .... akaanzisha kitu hicho hakifiki mbali.
 
Mungu alikwisha weka sheria ya kulinda ndoa kwa wale wakristo Biblia inasema Mwanamume ampende mke wake na mwanamke amtii mumewe. Mambo haya mwawili hutegemeana kwa kiasi kikubwa sana, kwani mwanamume akimpenda mkewe atamjali, atamlinda, atamtunza, atamfanyia mambo yote mazuri na hivyo mwanamke atamthamini sana na kumtii mumewe kwakuwa ndiye kichwa cha familiya.
Mwanamke naye akimtii mume wake na kumheshimu, mume naye ni rahisi sana kumpenda mkewe kwa dhati. Ukitaka kuamini hili kumbuka wakati wa uchumba huwa unakuwa mtamu sana kwa sababu watu huwa wanajifanya kudumisha mambo hayo mawili lakini baada ya kuoana huwa wanayapuuzia na ndipo matatizo yanapoanza.
Upendo wa dhati na utii wa hiayari ndio msingi imara wa furaha na amani katika ndoa, nawaomba wanandoa wenzangu tuwe makini sana katika kuzingatia mambo hayo ili ndoa zetu zidumu na kwa wale wachumba wajiandae kufuata kanuni za Mungu ili maisha yawe mepesi na yenye furaha na amani. Watiini waume zenu kama ilivyo kumtii Mungu nanyi wanaume wapendeni wake zetu kama kristo alivyo lipenda kanisa(watu) hata akafa kwa ajili yake.

Sam82; sitii shaka kwa vyovyote utakuwa mtumishi wa Mungu. Ahsante sana kwa ufafanuzi huu; kuanzia leo nitajirekebisha ili Mama Tutor B aendelee kufaidi
 
Yote tisa ila hiyo nilobakiza ndo mambo yote. Hakika mwanamke ni wa ajabu sana, ukimwanzishia kitu chochote ukampa asimamie kinaenda vyema. Lakini yeye akitaka kuanzisha kitu ukam-support .... akaanzisha kitu hicho hakifiki mbali.

You said my broo...na kwa uhalisia it is very true
 
pole sana mamito.....
huyu Kaisari hafai kabisa.... mpaka unanisahau! lol!
Upo poa lakini?

Nisamehe bure mpenzi wangu......simu nilikuwa naruhusiwa kushika masaa mawili kwa 24 hrs....saa 7-8 na saa 6 usiku na kuendelea, just imagnee.

Kwa sasa niko huru you will enjoy my company dear
 
Mungu alikwisha weka sheria ya kulinda ndoa kwa wale wakristo Biblia inasema Mwanamume ampende mke wake na mwanamke amtii mumewe. Mambo haya mwawili hutegemeana kwa kiasi kikubwa sana, kwani mwanamume akimpenda mkewe atamjali, atamlinda, atamtunza, atamfanyia mambo yote mazuri na hivyo mwanamke atamthamini sana na kumtii mumewe kwakuwa ndiye kichwa cha familiya.
Mwanamke naye akimtii mume wake na kumheshimu, mume naye ni rahisi sana kumpenda mkewe kwa dhati. Ukitaka kuamini hili kumbuka wakati wa uchumba huwa unakuwa mtamu sana kwa sababu watu huwa wanajifanya kudumisha mambo hayo mawili lakini baada ya kuoana huwa wanayapuuzia na ndipo matatizo yanapoanza.
Upendo wa dhati na utii wa hiayari ndio msingi imara wa furaha na amani katika ndoa, nawaomba wanandoa wenzangu tuwe makini sana katika kuzingatia mambo hayo ili ndoa zetu zidumu na kwa wale wachumba wajiandae kufuata kanuni za Mungu ili maisha yawe mepesi na yenye furaha na amani. Watiini waume zenu kama ilivyo kumtii Mungu nanyi wanaume wapendeni wake zetu kama kristo alivyo lipenda kanisa(watu) hata akafa kwa ajili yake.

Nimeipenda sana hiii MTUMISHI
 
Back
Top Bottom