komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,646
mi mwnywe nlishangaa kidogoMkuu Uumbaji ulifanyika Tanzania.
mi mwnywe nlishangaa kidogoMkuu Uumbaji ulifanyika Tanzania.
Hii mada ni nzuri sana nashangaa kwanini ilikosa wachangiaji wa tafiti.
Ikwa nini hawakuja TZ, waliishije kwenye biasharabya utumwa? wakati hawakuifanya? pale kulikuwa na mawili ufanye upone, uache utumikishwe! tangu utumwa ukomeshwe hauna miaka zaidi ya 150 net, mfano, Tiptip mabaki ya waarabu aliuza watumwa, wakoloni walikaa jumla ya miaka 80 tu net.
Jnkwa nini hawakuja TZ, waliishije kwenye biasharabya utumwa? wakati hawakuifanya? pale kulikuwa na mawili ufanye upone, uache utumikishwe! tangu utumwa ukomeshwe hauna miaka zaidi ya 150 net, mfano, Tiptip mabaki ya waarabu aliuza watumwa, wakoloni walikaa jumla ya miaka 80 tu net.