SaidAlly
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 2,373
- 2,306
Mkuu si walikuwa watu watatu kitandani? jamaa alivyohesabu miguu akakuta ipo sita (yaelekea siku hiyo hakulewa sana) akamuuliza mke wake mbona kuna miguu sita? ili kuua noma wife akamwambia wewe umelewa...hebu shuka chini halafu uhesabu tena...jamaa akahesabu akakuta ipo minne akaridhika bila kujua ya kwake haipo pale.....
Asante aisee...maana nimerudia kusoma mpaka basi plus dictionaries kibao pembeni yangu still nimetoka patupu.......Duuuuh!