6 Ph.D, 704 Masters holders among applicants for drivers job in Dangote

6 Ph.D, 704 Masters holders among applicants for drivers job in Dangote

ExpertBroker

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2009
Posts
454
Reaction score
108
LAGOS - The ugly unemployment statistics of Nigeria has been highlighted by the number of applications from higher degree and first degree holders who sought employment as drivers in Dangote group. The staggering figure stands at 13,000.

Of the 13,000 applications received by the Dangote Group for the Graduate Executive Truck Driver, there were six Ph.D, 704 Masters and over 8,460 Bachelor degree holders.


Alhaji Aliko

Speaking during the mentor-ship meeting of the World Bank Youth Forum, Chairman of Dangote Group, Aliko Dangote, said that the company only needed 100 drivers, but received the overwhelming applications.

According to Dangote, most of the applicants were from reputable universities and had the needed quality.

He said: "All these things are verifiable, and they all graduated from reputable institutions which is satisfactory; and our plan is to eventually make them self dependent.

"Despite the fact that the drivers get trip allowances on each trip along with their salaries, the arrangement is that they will own the trucks at no interests or repayments after they must have reached 300,000 kilometres, which is about 140 trips from Lagos to Kano and a hard working driver can complete in two years, while lazy ones can take maximum of four years."

Analysts believe that the three tiers of government have not done enough to create employment or create enabling environment for the organised private sector to employ more Nigerians.

In a growing economy, it is rather shocking that Ph.D and Masters degree holders are seeking placement as drivers.

Martin Onyilokwu of Media Development Initiative believes that the revelation is a wake up call for government to go beyond rhetoric and start the implementation of credible programmes to improve the living condition of Nigerians.

He said:"It is no longer enough to claim that the economy is growing by this or that per cent. The truth of the matter is that Nigeria is not witnessing appreciable development.

We have a situation where the living standard of the people is at an all time low as exemplified by insecurity, poverty, unemployment, massive corruption, executive and legislative recklessness. There is a need for government to wake up to its responsibility."

It would be recalled that in the course of last week, thousands of young graduates staged protests at the Ministry of Interior in Abuja when officials denied them access to submit application forms. The ministry has since claimed that no employment was on-going.

Wherever rumour of employment is circulated, thousands of duly qualified candidates turn up to participate.


SOURCE: 6 Ph.D, 704 Masters holders among applicants for drivers job in Dangote
 
Kumbe ndo maana wanaingia ktk business za kulaghai, No wonder
 
hii ni balaa

Balaa na hatari la kweli,

Viongozi wetu waangalie hili kwa makini na ria tujitume katika kusimamia mashirika yetu ya umma ili yendelee ku-absorb vijana na hili linawezekana tu yakiwa na tija na hili linataka uzalendo na kujituma!!!
 
PhD za Famba kama za Kikwete na Nchimbi. Masters za uongo kama ya Lukuvi. Ila kule UN huwa wanadanganyika na kuwapa hawa wajinga kazi
 
Wanajitahidi sana kwa elimu ya juu wana Univ zaidi ya 60 na wanajitahidi sana kusoma hawa jamaa,ukienda jeshini ndio degree zimejaa maana hawana pa kwenda
 
PhD za Famba kama za Kikwete na Nchimbi. Masters za uongo kama ya Lukuvi. Ila kule UN huwa wanadanganyika na kuwapa hawa wajinga kazi

Hata kama wanadanganya unategemea mpewe watanzania na kiingereza kama cha mulugo!, no way
 
Tatizo watu wanapenda kuajiriwa na si kujiajiri ,kwa wasomi wa kiwango hicho nilitegemea wangejianzishia miradi yao,na kwa kuutumia usomi wao wangeweza kufanikiwa katika shughuli zao,kwa mfano wangeweza hata kuanzisha shule,kufuga samaki,kuoka mikate,kufanya kazi za ushauri ,hata kuwa madereva wao wenyewe.Kama mtu wa IT kweli utahitaji uajiriwe katika ulimwengu wa sasa/au mtu wa takwimu au sosholoji kweli utahitaji ajira?
 
Hii sio ishu ya kufurahia, Hata huku Bongo inakuja na isha anza tiyali, Mwenzako akinyolewa wewe tia maji, Pamoja na kwamba Mazingira ya Tanzania na Nigeria yanatofautiana, ni wakati wa kujipanga kwa upande wa Tanzania, Nigeria ni kweli hata kupata aridhi ni ishu tofauti na Bongo ambapo kuna aridhi imelala na haina mwenyewe, Ila ndo kama hivyo wazungu maweanza kuichangamkia na mpka sasa zaidi ya Hecta 1.4 milioni zimeisha gawanywa kwa wazungu,
 
Nimesoma Taarifa yenye kusikitisha sana kuhusu Ajira huko Nigeria, Yaani huko Hali ni Mbaya kuliko maelezo wakuu, Kama hadi watu wenye Phd wana apply udreva wa Malori hali ni mbaya sana, Katika hilo Tangazo inadaiwa watu wa Master walio omba Udreva ni zaidi ya 800 na wa phd ni 3 na wanao bakia waote ni Graduate,

Hii ni habari ya kusikitisha sana, na ni somo tosha kabisa kwa sisi Watanzania, hili la Nigeria hata huku limeisha anza na lina kuja kwa kasi ya kutisha wakuu, kama wasomi na watu wengine tutashindwa kujipanga tutakuja kuwa kama Nigeria,

Nigeria ina matatizo kibao likiwemo swala la Aridhi, Kule kupata aridhi ni ishu sana, tofauti na Tanzania, Kwa Bongo kuna Mapoli hayana watu kabisa, kuna Mito intililisha maji kiangazi na masika, kuna Mifugo ya kila aiana, na rasilimali zingine, Ila tumishindwa kabisa kutumia Aridhi na badala yake tuna komaa mijini kutafuta kazi za kuajiliwa tukiamini maisha yako huko,

Haya mapoli yaliyo lala yana mwisho wake na kwa kweli hatuna miuda mrefu kabla ushu ya Aridhi haijawa tatizo Tanzania, na mpaka sasa zaidi ya Hecta 1.4 milioni zimeisha tolewa kwa Wazungu, wachina, waarabu, wahindi na wengineo hii ni kwa mujibu wa Oxfarm(our land our lives)

Wakuu hili la Nigeria ni Funzo tosha kabisa kwetu na wakati ni sasa hivi
 
usiogope Tz itapita miaka 10 PhD holder kukosa kazi, Masters miaka 2 pole kwa kwa bachelor graduate hasa non science:they alread suffered

BS kibao zimezagaa mitaani mwetu mkuu,hakuna cha ajira wala kujiajiri,njia ya mkato tunayoweza kuitumia kwa haraka ni kuwawezesha hawa graduates wetu kujiajiri na kuwapa uwigo mpana zaidi ili ku create jobs kwa wenzao wa chini,kama tutawaacha waendelee kuzurura na kuwaahidi ajira ambazo hata hatujui zitakapotokea ni ujinga na ni kustawisha kombora litalokuja kutuumiza sote,tanzania bado ina nafasi nzuri tu ya kujiandaa kukabiliana na mambo kama hayo,ila kwa u ccm huu wa kikwete tujiandae sio ku create opportunities,bali kupoteza hata hizi tulizonazo,sasa hivi arusha ni nairobi ndogo!!wala si kwa maendeleo,bali kwa idadi ya wakenya wanaogombea ajira za ovyo na wenyeji wa hapo,kwa hili ni lazima tumuunge mkono lowassa kwenye harakati za kulitegua bomu hili,huku tukiwa nje ya mfumo ccm.
 
tatizo wasomi wa kiafrika hawana ubunifu wanawaza kuajiriwa tu,nimesoma historia ya Aliko Dangote ana elimu ya msingi tu na ndiye tajiri mkubwa kuliko wote hapa Afrika, ni mbunifu na anawekeza sehemu mbalimbali Afrika hata hapa Tanzania anawekeza kiwanda cha Cement ndiye mtu anayeongoza kwa kuwa na viwanda vingi vya cement hapa Afrika,kwao Nigeria amejenga kiwanda kikubwa cha cement ambacho kitakuwa kikubwa kuliko vyote duniani.

Hao wasomi wangejiuliza Dangote ameweza wao wanashindwa nini,kwanini Dangote awaajiri badala ya kubuni miradi yao,Dangote anawekeza nchi mbalimbali lakini mtanzania yeye kuishi Ruvuma tu kwake tabu yupo tayari ashinde vijiweni Dar es Salaam lakini kuishi Ruvuma au mikoa mingine hawezi ,mikoani kuna ardhi ya kutosha ambayo mtu angeweza kuipata hata bure na kuanzisha kilimo au ufugaji.

Tatizo la ajira ni kubwa sana,wasomi wa Afrika wabadilike waachane na kufikiria kuajiriwa tu matokeo yake Phd anataka kuwa dereva.
 
Kama bado naikumbuka hii habar ni kwamba unakua dereva kwa kipindi kadhaa like 3 to 4 yrs then unapata semi trela la kwako bureeeee.
So watu wanahitaji pia kumiliki ma semi yao.
Ingekua tu udereve wa kawaida kwa mwezi laki na nusu (Naira__) mpaka ufe sidhani kama watu wangejitokeza wenye ma Phd yao.
Wange-opt kufanya yale mambo yetu yaleeee,.....Wizi wa kisomi
 
Na hii innakuja tanzania miaka si mingi
 
tatizo wasomi wa kiafrika hawana ubunifu wanawaza kuajiriwa tu,nimesoma historia ya Aliko Dangote ana elimu ya msingi tu na ndiye tajiri mkubwa kuliko wote hapa Afrika, ni mbunifu na anawekeza sehemu mbalimbali Afrika hata hapa Tanzania anawekeza kiwanda cha Cement ndiye mtu anayeongoza kwa kuwa na viwanda vingi vya cement hapa Afrika,kwao Nigeria amejenga kiwanda kikubwa cha cement ambacho kitakuwa kikubwa kuliko vyote duniani.

Hao wasomi wangejiuliza Dangote ameweza wao wanashindwa nini,kwanini Dangote awaajiri badala ya kubuni miradi yao,Dangote anawekeza nchi mbalimbali lakini mtanzania yeye kuishi Ruvuma tu kwake tabu yupo tayari ashinde vijiweni Dar es Salaam lakini kuishi Ruvuma au mikoa mingine hawezi ,mikoani kuna ardhi ya kutosha ambayo mtu angeweza kuipata hata bure na kuanzisha kilimo au ufugaji.

Tatizo la ajira ni kubwa sana,wasomi wa Afrika wabadilike waachane na kufikiria kuajiriwa tu matokeo yake Phd anataka kuwa dereva.

umeongea point sana mkuu ubarikiwe
 
Back
Top Bottom