Mwanahisa
JF-Expert Member
- Jun 29, 2012
- 1,382
- 517
Ni vizuri kuangalia swala la mfumo na ubora wa elimu, waweza kua na elimu bora ila mfumo ukakuzinga,
Ila hawa ndugu zetu wamezidi kwa short cut, ambazo matokeo yake ni haya ya udereva wakati wana PhD, Janja janja nyingi mno. Niliwahi kudokezwa kama unafungu kidogo la hela unaweza kupatiwa cheti cha Harvard Business School, MBA, ila utofauti wake ni kua jina litabadilika kidogo tu nakua Haarvard,
Elimu ya kati na fursa nzuri za kibiashara ni wazi kua lazima utastawi, Mfano mzuri ni Dangote, the richest man in Africa, mazingira yamempa mkono huyu bwana kwani taifa lenye watu takribani milioni 400, ukiwekeza kwenye biashara ya bidhaa za mahitaji muhimu, kama chakula lazima utoke tu, ndicho alichokifanya Dangote, anasaga na kufungasha nafaka kuliko maelezo, ila alianza na mkopo kutoka kwa mjomba wake, kuanzia na duka la rejareja mpaka hapo alipofikia sasa, anajua ni kwanini pakiti ya chumvi huchukua miaka kupanda bei!