6-inch Nokia Lumia 1520 to ship with massive 3400mAh battery

Mwl.RCT

Platinum Member
Joined
Apr 5, 2009
Posts
15,713
Reaction score
22,601
4jbg.png

  • Nokia has decided that it’s going to make sure that isn’t a problem with the Lumia 1520, which will reportedly ship with a 3400mAh battery.

  • That’s 200mAh more than the Galaxy Note 3, and it’s even larger than the battery in the Droid Razr Maxx. It’s bordering on tablet territory, really. Of course, so is a 6-inch smartphone.

  • People will buy the Lumia 1520 because of its size–and perhaps in spite of it, if they’re looking for a device with really great standby time.

  • We’ll find out for sure whether the 3400mAh battery is part of the 1520′s spec sheet on September 26. That’s the date Nokia recently slapped on invitations to the tech press.

  • The biggest Lumia yet is expected to ship with a muscular Snapdragon 800 processor, 32GB of internal storage, a full 1080p HD display (that can squeeze in more tiles than any other Windows Phone), and a 16MP/5MP rear-facing PureView camera.
View Source

6" phone? more like a phablet. na bado sijazioea hizi 5" monsters za akina s4. naomba Mungu hii isiwe the next trend maana hata kama napenda bigger screens, this is 2" much :heh:
 
zote rumors simu itatoka tarehe 22 october tuna zaidi ya siku 30 nokia wanaweza zindua kitu chengine usichotarajia
 
3400 mAh kwa 6 inch!! bado Nokia bado hajaweza ku compete vizuri "batterywise". Ukilinganisha na motorola razr maxx 3300mAh 4.3 inch ambayo iko sokoni kwa zaidi ya mwaka sasa !
 
Yah hater unajitahidi

Lumia hii wapinzani wake ni htc one max, galaxy note 3, sony xperia z ultra, ascend p6 zote hizo ni phablet na zote hazina battery hio lumia hii ndo ina battery kubwa.

Na kwa watu wa tech kama unajua simu then utajua kua nokia ni unbeaten kwenye ku optimize battery anatumia battery ndogo ila result kubwa

Hebu nkutajie simu ukubwa wa battery na muda wa maongezi unayotoa. Ntatumia lumia 620 kama standard maana ndo smartphone yenye battery ndogo ya nokia.

1. Lumia 620 battery 1300 mah muda wa maongezi masaa 14 dakika 17

2. Galaxy s4 Battery 2600 mah muda wa maongezi masaa 13 dakika 53

3. Htc one 2300mah muda wa maongezi masaa 13 dakika 38

4.sony xperia z battery 2330 mah muda wa maongezi masaa 16 dk 4

Nimepambanisha battery ya lumia ndogo na smartphone zenye battery za ukweli na umeona matokeo sasa imagine 3400 mah utaskia simu ina talk time masaa 30 na kuendelea

Eneo la battery ambalo nokia yupo ovyo ni browsing time tu ambayo iphone ni king wa hili eneo.

Kwenye video playback pia nokia wapo vizuri
 
safi sana, mkuu chief-mkwawa kwa Nokia uko vizuri
 
Last edited by a moderator:
Safi sana Chief nimekuaminia kwenye mambo ya phone uko vizuri sana naendelea kuvuna maarifa kutoka kwako.
 
Yah hater unajitahidi

Lumia hii wapinzani wake ni htc one max, galaxy note 3, sony xperia z ultra, ascend p6 zote hizo ni phablet na zote hazina battery hio lumia hii ndo ina battery kubwa.

Na kwa watu wa tech kama unajua simu then utajua kua nokia ni unbeaten kwenye ku optimize battery anatumia battery ndogo ila result kubwa

Hebu nkutajie simu ukubwa wa battery na muda wa maongezi unayotoa. Ntatumia lumia 620 kama standard maana ndo smartphone yenye battery ndogo ya nokia.

1. Lumia 620 battery 1300 mah muda wa maongezi masaa 14 dakika 17

2. Galaxy s4 Battery 2600 mah muda wa maongezi masaa 13 dakika 53

3. Htc one 2300mah muda wa maongezi masaa 13 dakika 38

4.sony xperia z battery 2330 mah muda wa maongezi masaa 16 dk 4

Nimepambanisha battery ya lumia ndogo na smartphone zenye battery za ukweli na umeona matokeo sasa imagine 3400 mah utaskia simu ina talk time masaa 30 na kuendelea

Eneo la battery ambalo nokia yupo ovyo ni browsing time tu ambayo iphone ni king wa hili eneo.

Kwenye video playback pia nokia wapo vizuri

Heshima yako mkuu!!!!

Smartphone ni zaidi ya kuongea na kupata meseji !!!, unapoangalia uwezo wa simu kukaaa na chaji huangalii talk time pekee, kama ulivoainisha hapo kwa brands tofauti,

Yea! nashukuru umegusa eneo la browsing na umekiri kuwa nokia hayupo vizuri lakini kuna maeneo mengi ambayo ni battery consuming na bado hujazungumzia, mfano video, streaming auto sync, au video calling.
Razr maxx ics ina talk time ya masaa 21 ,web browsing masaa 9 au video playback ya masaa 16 na hii ni. Model ya almost 2 two years back !!! mind you Philosophy ya high capacity battery for unknown reasons, imekuwa pioneered na very unpopular brands huawei phillips ,Motorola etc wakati leaders of the pack Samsung ,apple Nokia etc are busy advertising how many core they had in their smart phones

Hater you called me! its ok,! but just because. Nokia is late to the party it doesn't mean the party hasnt started yet !!!
 
World record imeekwa jana talk time ya masaa 30 kwa 3g (sipat picha kwa 2g itakuaje), na alieweka rekodi hii si mwengine bali ni nokia na simu yao ya lumia 625. Simu hii ina battery ya 2000mah tu. Na hio ndio battery kubwa zaidi ya nokia sasa imagine nokia anatoa simu ya 3400mah.

Still hujakuwa convinced?
battest.jpg
 
Hivi na hii lumia mpya itakua inazingua kunako instagram?
 
hakuna official app ya instagram kwenye windows phone ila kuna third part app ambayo instagram wenyewe wamei approve inaitwa 6tag. ni nzuri inafanya kazi zote kama instagram + ina mambo mengine zaidi.

muonekano wake
6-tag-1-tile.jpg
 
mkuu t blj hatimaye gsmarena wametoa battery test ya lumia 1520 imetawazwa kuwa simu inayokaa na chaji kuliko zote duniani ikiwa na rating ya masaa 107.
gsmarena_102.jpg
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom