5TH Anniversary!!!!!!

Douta mimi sina mengi zaidi ya kukupa hongera, lakini ongeza sana maombi (najua wajua kwa nini mesema hivyo).

Daddy n mumy measkron love you!!!

Muheshimiwa watu8 .
Shkamoo !
Soon naja Dar , chagua zawadi mapema .
Nikuletee chele (rice) la Tinde Shinyanga ?
Ama Kuku wa Iguguno ?
Au futa la Alizeti toka Shelui ?
Ama Kitunguu cha Misigiri ?
Zabibu za Chikuyu?
Au Nyama ya Narco- Kongwa?
 
Last edited by a moderator:
ukija nishutue nije kumchukulia hivyo vitu daddy wangu maana najua ni mshamba sana huwaga anaogopa magari akiona mengi kwani ameshazoea kukaa home sana na hata ATM huwaga ananituma mm

Muheshimiwa watu8 .
Shkamoo !
Soon naja Dar , chagua zawadi mapema .
Nikuletee chele (rice) la Tinde Shinyanga ?
Ama Kuku wa Iguguno ?
Au futa la Alizeti toka Shelui ?
Ama Kitunguu cha Misigiri ?
Zabibu za Chikuyu?
Au Nyama ya Narco- Kongwa?
 
ukija nishutue nije kumchukulia hivyo vitu daddy wangu maana najua ni mshamba sana huwaga anaogopa magari akiona mengi kwani ameshazoea kukaa home sana na hata ATM huwaga ananituma mm

Yaani huyu Dady yenu kanilia kabnyau !
Poa tu , zawadi utampokelea!
Ila tatizo langu mie Dar ni malazi , hapo kwako siwezipata hifadhi hata room ya uwani .
 
Daddy watu8, kuwa makini na huyu Judgement make naona ana mpango wa kuvizia mabinti zako wakati wa msimu wa likizo, anajua kuwa kila mwisho wa mwaka tunajumuika home so anataka hifadhi banda la uani ili atuvizie!!!
 
Last edited by a moderator:
Utapata nafasi ondoa wasiwasi hata ukisema bedroom ni chagua lako weye
yaani huyu dady yenu kanilia kabnyau !
Poa tu , zawadi utampokelea!
Ila tatizo langu mie dar ni malazi , hapo kwako siwezipata hifadhi hata room ya uwani .
 
my dia kumbe upo binamu wa ukweli nimekumisije yaani wewe acha tu
natamani uwepo wako akaribu

Binamu ladyfurahia nipo bana sema hii mihangaiko ya maisha ni balaa inatufanya hata kutulia tusiweze aise
Hope upo salama na pole sana kwa matatizo sikuweza kukupa pole kwenye thread maana nilikuwa sehem net inasumbua mbaya
 
Last edited by a moderator:
Asante binamu usijali ndo maisha yote hayo nimekwisha poa niko nawajibika pia
hawajambo mashangazi zangu hapo (watoto wako)
binamu ladyfurahia nipo bana sema hii mihangaiko ya maisha ni balaa inatufanya hata kutulia tusiweze aise
hope upo salama na pole sana kwa matatizo sikuweza kukupa pole kwenye thread maana nilikuwa sehem net inasumbua mbaya
 
Asante binamu usijali ndo maisha yote hayo nimekwisha poa niko nawajibika pia
hawajambo mashangazi zangu hapo (watoto wako)

Wako salama kabisa binamu wanaendelea vyema
Kwa sasa ni fujo tuu maana wamefunga shule ni balaa yaani
 
Nawashukuru sana amu, KOKUTONA na sis Lady doctor!!

Picnikcollage.jpg
 
Back
Top Bottom