5TH Anniversary!!!!!!

Hongera sana charminglady kwa kufikisha umri huo ukiwa kwenye ajira
Hongera pia kwa mafaniko ---- pia kitaaluma na kimaisha na ongeza sana juhudi na Mungu akutangulie
Ndyofu zinahusika sana level 8 na rock bottom pale though Fusion panabamba sana Nicas Mtei alinikataza nisije mwanza eti nitaonana na wewe
Msalimie sana watu8

Asante sana Bro... Hebu achana na Nicas, njoo kuna chimbo moja jipya ntakupeleka!!!
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana charminglady.. Miaka mitano kwa kazi za siku hizi ni mingi.. Nafurahi sana kuona kupitia kazi yako umeweza kujikimu kimaisha na kuweza kuwa msaada na kwa watu wengine..
 
Last edited by a moderator:
Mungu akubariki na hongera sana kwa kutimiza 5 years ndani ya mjumba huu bila kupata ban my cousin hongera sana
 
Hongera mpenzi msome Filipo hapo juu sie wengine kila baada ya 6 months tunahama kampuni lol
 
Last edited by a moderator:
Wacha mineno mengi.. we taja lokesheni zitakakopigiwa Ndyofu..
Happy 5th Annivessary, Mi mwenzio ndo natarajia kutimiza mwaka mmoja hapo January. Sijui na hapa watanitimua kama hizo sehemu zingine 18 na ushee nilikopitia.

Heeeee
 
Hongera japo ningependa nijue within 5 yrs ushalamba mikwanja ya kifisadi kama hau machi approximately ! hapo site .
Btw umesahau kuvishukuru na vile vijidege vilivyokua viki apear dirishani mwako kila usubui kukuamsha .
 
Dah.... una kumbukumbu mkuu! Ee bana nilihama nyumba bila kuviambia huenda havikujua nilihamia!

Asante Jg...
 
Dah.... una kumbukumbu mkuu! Ee bana nilihama nyumba bila kuviambia huenda havikujua nilihamia!

Asante Jg...

Afu siku utakapokuja jua ulipohamia currently tupo jirani , na hata juzi tumepishana kamvua kananyesha , umevaa jacket nikataka nikusapraiz akili nyingine ikanambia nikusare kwanza .
 
Douta mimi sina mengi zaidi ya kukupa hongera, lakini ongeza sana maombi (najua wajua kwa nini mesema hivyo).

Daddy n mumy measkron love you!!!
 
Last edited by a moderator:
Afu siku utakapokuja jua ulipohamia currently tupo jirani , na hata juzi tumepishana kamvua kananyesha , umevaa jacket nikataka nikusapraiz akili nyingine ikanambia nikusare kwanza .

Heheheeeiiyaaa!!! Yaan mie nakufahamu kabisa longtime, hata hapo ofisini kwako Liberty napafahamu!!! Pesa bandia v/s cheni bandia....
 
Douta mimi sina mengi zaidi ya kukupa hongera, lakini ongeza sana maombi (najua wajua kwa nini mesema hivyo).

Daddy n mumy measkron love you!!!

Asante sana Daddy, nawapenda pia... Nitazidi kusali zaidi na zaidi..... Mungu akubariki!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom