and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 4,515
- 14,977
Satelite za starlink zinategemea ground station ambayo ipo connected na internet backbone, elewa kwamba ground station ina capacity yake ya bandwidth, terminal inawasiliana na satellite, satellite inawasiliana na gateway/ground station ... wewe unadhani ground station ni infinity bandwidth? hata mnara una bandwidth limit yake...Ingekua issue ni ground station bandwidth isingepungua bali ping ingeongezeka. Ila tatizo la sasa bandwidth imepungua ina maana tatizo ni jengine sio ground station
Kufikia hiyo speed kwenye 5g lazima uwe karibu na mnara5G network ipo supply by tower kwa hiyo itakua inashika baadhi ya maeneo tofauti na Starlink anategemea satellite popote pale inashika through devices zao
Ground station ni Fiber, na under sea cable ambazo bandwidth zake zinahudumia Nchi kibao, maelfu kwa maelfu ya terabyte hao watu 19,000 ni kitone tu compare na hizo cable, no way uzijaze. As I told you before Ground station ina reduce latency na sio load. Satelite Inaweza drop load kwenye ground station yoyote ile sio lazima ya Kenya ila latency ndio itaathirika.Satelite za starlink zinategemea ground station ambayo ipo connected na internet backbone, elewa kwamba ground station ina capacity yake ya bandwidth, terminal inawasiliana na satellite, satellite inawasiliana na gateway/ground station ... wewe unadhani ground station ni infinity bandwidth? hata mnara una bandwidth limit yake...
Ground station sawa ipo connected na fiber na inahudumia nchi kibao lakini ground station ndio kiunganishi ina process data zotekabla kuzipeleka kwenye internet backbone...Ground station ni Fiber, na under sea cable ambazo bandwidth zake zinahudumia Nchi kibao, maelfu kwa maelfu ya terabyte hao watu 19,000 ni kitone tu compare na hizo cable, no way uzijaze. As I told you before Ground station ina reduce latency na sio load. Satelite Inaweza drop load kwenye ground station yoyote ile sio lazima ya Kenya ila latency ndio itaathirika.
Ingekua tatizo ni ground station Kenya wangepata speed kubwa ya Internet ila latency ingekua mbovu. Ila sababu wanapata latency nzuri kwa speed ndogo ina maana ground station inafanya kazi yake ipasavyo ila satelite imezidiwa.
Naona hii concept inakupa shida kafanye homework yako vizuri
Sasa kama ground station ni Fiber na fiber ina Bandwidth materabyte na Satelite Bandwidth ni 20-90Gbps kipi kina limit watu wengi wasi connect?Ground station sawa ni fiber na inahudumia nchi kibao lakini ground station ndio kiunganishi ina process data zotekabla kuzipeleka kwenye internet backbone...
Ni sawa na useme kisa minara inakwenda kuwa connected kwenye mkonga wa taifa ambao upo connected dunia nzima basi ndipo useme minara haina maximum capacity ya ku process data...
Ndio maana minara inajengwa na kuongezwa...
Hopefully umeelewa..
Ground station sio kama bomba la maji kwamba ukiweka maji tu yanapita na kumiminika..Sasa kama ground station ni Fiber na fiber ina Bandwidth materabyte na Satelite Bandwidth ni 20-90Gbps kipi kina limit watu wengi wasi connect?
Chukua satelite zote 7000 zidisha kwa 20-90Gbps unapata 140-630 Tbps hio ni bandwidth Ya dunia nzima ya Starlink, Cable moja ya Internet zile kubwa inaenda mpaka 200Tbs, unahitaji cable tatu tu kuhudumia Wateja wote Starlink Dunia nzima. Even Africa Cable zetu kama 2Africa zinafika 180Tbps.
So ground station haijawahi kuwa shida kwenye Bandwidth we endelea kujitoa ufahamu.
Minara = satelite, kusema mnara umezidiwa ni sawa na kusema satelite imezidiwa.
Unachoclaim wewe Mnara haujazidiwa bali Fiber zinazoconect mnara zimezidiwa.
We jamaa unachanganya madesa, hawadhibiti latency bali speed ya Internet Kenya Toka Starlink inazinduliwa hawana Ground station imekuja kuwekwa juzi tu walikuwa wanatumia vipi starlink na speed hadi 200mbps?Ground station sio kama bomba la maji kwamba ukiweka maji tu yanapita na kumiminika..
Ground station ina computers na antenna...
Antenna za ground station starlink...
Ground station ina computers, softwares , modems na routers zinazobadili mawimbi ya satellite kuwa mawimbi ya kawaida ya internet ambayo itakuwa connected na fiber... hio process yote inatumia resources , muda na power ku process...
Starlink ground station yake moja huwa ina hizo parabolic dish 9 huku nane zikiwa zinatumika na moja ikitumika kama backup/reserve...
Kila antenna moja ina kikomo chake cha bandwidth takribani 20Gbps...
Lakini kuna baadhi ya ground station zinakwenda hadi 1Tbps...
Twende kwenye math, tufanye tu ground station ya Kenya ina uwezo wa ku process 1 Tbps ambayo ni sawa na 1,000,000 Mbps...
Haya tufanye kila mteja Kenya awe na speed ya internet 50 Mbps.. tugawe hapo..
1,000,000,000 Mbps/50 Mbps = 20,000 User terminals..
Ground station moja yenye uwezo mkubwa kabisa wa ku process 1 Tbps inaweza hudumia terminals 20,000 kwa wakati mmoja...
Sasa unachobisha hapo ni kitu gani ndugu?
Kenya watumiaji wamefika 19,000.. kwa rough estimations unaona kabisa starlink wapo sahihi ... na hesabu haidanganyi... kumbuka pia hio ni math katika nadharia...(theoretical maximum)
Lakini tukienda kiuhalisia kuna factors ambazo zitapelekea 1 Tbps ground station kuhudumia watu chini ya 20,000..
Pia kumbuka Starlink huweka mipaka kwa idadi ya watumiaji wanaoweza kuunganishwa ili kudhibiti latency na kuhakikisha huduma inaendelea kuwa ya haraka...
Nimekuambia ground station inakuwa na hizo antenna 9 kiongozi.. moja nikaandika inatumika kama backup na nyingine nane ndizo zinafanya kazi...Pia huo mfano wako ume assume ground station ina antena moja tu, Kila ground station ina hizo KA za kutosha
Ilioshuka sio ping ni speed ya Internet, tunabishana mambo ya kilayman kabisa, Google kwanza tofautisha baina ya ping na speed ya Internet kwa maana Bandwidth. Ingekua imepanda ping then ungekua sahihi ila imeshuka speed.Nimekuambia ground station inakuwa na hizo antenna 9 kiongozi.. moja nikaandika inatumika kama backup na nyingine nane ndizo zinafanya kazi...
Hapa nimeelewa husomi maelezo ninayokupatia kwa umakini...
Kuhusu Kenya kutumia starlink pasipo ground station ni kwa sababu mwanzoni subscribers walikuwa hawajawa wengi, baada ya watumiaji kuongezeka ikabidi waweke ground station...
Starlink bado ina satellite za kizazi cha kwanza ambazo hazina technology ya ISL... zenye ISL ni kuanzia v1.5 na v2, hivyo usifikiri satellite zote zina huo uwezo wa ku connect...
Pia nimekuelezea tu vyema hapo uwezo wa antenna moja ya parabolic dish kama hizo pichani kwamba inaweza kuwa na uwezo wa ku handle 20Gbps na zaidi, nikaelezea pia kwa ujumla ground station moja ina weza ku handle 100 Gbps hadi 1 Tbps... nika assume ground station ya Kenya ina 1Tbps, kumbuka hio ni jumla ya antenna zote.. hesabu ikaja 20k terminals... sasa siasa za nini tena?
Ok let say wametumia hizo ISL satellite, hivyo itabidi waumiaji wa Kenya wawe connected Nigeria, Nigeria pia kuna ground station moja wanayoitegemea na majirani, hapo inabidi iwe connected Asia au EU, je hapo unafikiri kutakuwa na ping nzuri?
Bei chee kiasi gani?Rwanda, jirani tu. Kuna KTRN ya wakorea, ingekuwa TZ, hadi raka. Bei cheeee, speed nzuri kweli kweli.
Bei zao zipoje? na wao wana fiber manyumbani ? bei zipoje?Rwanda, jirani tu. Kuna KTRN ya wakorea, ingekuwa TZ, hadi raka. Bei cheeee, speed nzuri kweli kweli.
Ifike muda mkubali tu, suala la starlink kujipanua zaidi ni suala la kupongeza, sio mnaponda tu... ukizingatia ni kampuni mpya kwenye biashara ya internet..Ilioshuka sio ping ni speed ya Internet, tunabishana mambo ya kilayman kabisa, Google kwanza tofautisha baina ya ping na speed ya Internet kwa maana Bandwidth. Ingekua imepanda ping then ungekua sahihi ila imeshuka speed.
Na hakuna sheria inayosema groundstation lazima iwe na Ka 9, zipo groundstation kibao zina Radome nyingi zaidi kama Network yao I nahitaji 9 kwa mpigo zinaweza wekwa 9/18/27 etc
Ground station ya Kenya ina Radome 20 hii picha yake
View attachment 3356889
Halafu boss unanipotezea muda tu hapa Kenya Ground station imekuja juzi walikua wanatumia nini kama sio Inter satelite.
Mkuu tuache tu hii mada Hatufiki popote.
Hakuna sehemu nimekataa starlink inasaidia vijijini na kusiko na Mitandao ya simu.Ifike muda mkubali tu, suala la starlink kujipanua zaidi ni suala la kupongeza, sio mnaponda tu... ukizingatia ni kampuni mpya kwenye biashara ya internet..
5G yenyewe kwenye coverage ni upuuzi mtupu..
Ukiingia website za mitandao ya ndani ukitizama coverage ya 5G unaweza kulia...
Na wengi wanadanganywa kwamba 4G+ tena iliyopo baadhi ya maeneo kwamba ndio 5G...
Hebu leta ramani ya 5G coverage kwa Tanzania..
Hakuna sehemu nimekataa starlink inasaidia vijijini na kusiko na Mitandao ya simu.Ifike muda mkubali tu, suala la starlink kujipanua zaidi ni suala la kupongeza, sio mnaponda tu... ukizingatia ni kampuni mpya kwenye biashara ya internet..
5G yenyewe kwenye coverage ni upuuzi mtupu..
Ukiingia website za mitandao ya ndani ukitizama coverage ya 5G unaweza kulia...
Na wengi wanadanganywa kwamba 4G+ tena iliyopo baadhi ya maeneo kwamba ndio 5G...
Hebu leta ramani ya 5G coverage kwa Tanzania..
Unlimited 60k/70k/50k kwa speed ya 10Mbps...Hakuna sehemu nimekataa starlink inasaidia vijijini na kusiko na Mitandao ya simu.
Ubishi wote wa humu ndani ni nyie mbao claim fiber/5G/4G ni inferior kwa starlink.
Na huhitaji 5G kupita Starlink 4G tayari ni superior kwa Starlink.
Una Fiber as cheap as 49,000, Adsl as cheap as 25,000 unlimited 4G as cheap as 50,000/60,000 kama huna Unlimited sasa hivi na unahisi Starlink ikija na kit ya zaidi ya laki 5 na gharama za mwezi laki zitakukomboa na hao wa juu wana gharama kubwa tatizo ni lako wewe.
Unahitaji 200mbps kufanya nini? Tuanze na hapo, tushayazungumzia sana huko nyuma, you don't need more than 40mbps matumizi ya kawaida Nyumbani unless una familia kubwa sana mnashare ama una ofisi kubwa na wafanyakazi wengi.Unlimited 60k/70k/50k kwa speed ya 10Mbps...
Hio 50k ya TTCL kuna maeneo mengi sana watu wanahitaji haifiki, cause wanatumia hizo fiber...
Kiongozi wewe unazungumza kwa kujichukulia mazingira unayoishi ya mjini, kuna watu wanakaa Dodoma , Mwanza au Arusha nje kidogo ya mji hizo fiber hazipo na hizo antenna za kuweka juu ya paa hazishiki connection...
Starlink wakimaliza maboresho Kenya inarudi kama kawaida kwenye 200+ Mbps...
Hebu kaulize hio mitandao 200+Mbps wanakupa kwa bei gani?
Hapana mkuu. Jamaa walijipanga si huu usenge. Wanatumia minara.Bei zao zipoje? na wao wana fiber manyumbani ? bei zipoje?
Mkuu, MTN haina tofauti na Vodacom, Airtel na wengine. KTRN Ni Retailer wa 4G. Sasa hivi ndo anaprovide na voice, baada ya hao MTN na Airtel kuona hawapati wateja tena. Huyo ni 4G kweli kweli, huwezi kujutia ulichonunua. Hiyo MTN hata 3G yao ni kilio tu. Haina tofauti na 2GBei chee kiasi gani?
Kama hizi data ni sahihi
Rwanda
The African country of Rwanda has these network operators: MTN Airtel Rwanda (merged from Tigo and Airtel) kt Rwanda (KTRN for Korea Telecom Rwanda Networks), on 4G/LTE only The licence of another operator called Rwandatel was revoked in 2011. All 2G/GSM is on 900 and 1800 MHz, 3G up to HSPA+ on...prepaid-data-sim-card.fandom.com
Vifurushi vyetu ni bora zaidi.