540.com kuanza kigoma april

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,139
Wadau wa anga naona wiki hii kuna nyuzi nzuri hasa wale walio majiran na zitokabwe na wengineo..baada ya tren kushindwa kufika kigoma na kampuni iliobakia ATCL kutundikiwa
maji ya uchungu ICU sasa kampuni ya ndege ya 540.COM inaanzisha safari za DAR KIGOMA
Mwezi ujao mwenyeji wa kigoma na karibu na buurundi muda wenu kutumia ndege halisi kwa bei
rahisi

wish you all the best 540.COM
 
Taarifa ni nzuri.
Weka na source!
Bei zikoje Dar-Kgm ?
Precision Air walikua wakichukua Laki 2. Na maelf kadhaa.
 
JE NI watu wanagapi watakaomuda gharama za ndege?? nchi zilizoendelea zenyewe bado wanaimarisha matumizi ya tren na vingine, sisi hata tren tu ni anasa..
 
Back
Top Bottom