VOICE OF MTWARA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 3,120
- 2,234
huu ni ulevi wa madaraka
Hiyo nzuri sana,kuna watu kama wafuasi wa Lema hawana akili kabisa.
kichwa chako kimejaa mafua badala ya ubongo
Hio hukumu imefanywa hivo
Kwa ajili ya kukizamisha zaidi
Chama cha Muslim brotherhood! Watu 529 ni wengi
Sana
Wana Jamvi,
Habari nilizozinyaka sasa hivi zinasema kwamba watu karibu 529 wamehukumiwa kifo huko Misri kwa kushiriki kwao kumuua Ofisa wa Polisi na kuharibu mali. Hii ni hukumu ya aina yake kuwahukumu watu wengi hivyo kifo kwa wakati mmoja. Inasemekana wanayo nafasi ya kukataa rufaa na hukumu hii inabidi pia ithibitishwe na Mahakama ya kadhi.
Nafikiri Misri inaelekea kubaya zaidi.
Source: BBC
Tiba
Lakini endapo hukumu hiyo itatekelezwa, watu 529 ni wengi sana kusema ukweli ukilinganisha na kosa lililosababisha wahukumiwe hivyo.
Tiba
Wala hakuna kosa, katika nchi yenye ghasia kama ile . huwezi kujua bila mashaka yoyote nani alitenda kosa katika fujo zilizokuwa zinatokea huko
Tuwaombee Misri hali ya amani hisitoweke wasiingie kwenye machafuko tena