zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
naomba kujuzwa haka ka elf tano ambacho kila mwaka UDOM wanakachukua kwa ajiri ya Usaili,ili hali Watu wana reg.No na ID ZAO.zikionyesha mpaka mwaka wa kumaliza Chuo.
Napenda kujua kama ni halali au ka mradi ka bwana mdogo pale udom,yeye hujita Kuku alaliae a.k.a kondo Mweusi or Mr Tolu.
Naomba kutoa Hoja.
Duh 5000*7000 hawa ni first year tu.Nadhan ni kwa ajili ya wale wanaokaa pale chini ya vle vbanda wakisema wanafanya usajili kwa kuangalia risiti za watu na kugonga mihur tu kwenye makaratasi
Nika mladi kao kazuri ka mda mrf sana,kumbe ni ujambawazi huuu pambafu...Nadhani ipo ktk vyuo vyote. Ni wizi mtupu, wanaofanya usaili si wafanyakazi wa chuo, si wanalipwa mshahara kwa ajili ya wanafunzi!.
Huu ni wizi!!
naomba kujuzwa haka ka elf tano ambacho kila mwaka UDOM wanakachukua kwa ajiri ya Usaili,ili hali Watu wana reg.No na ID ZAO.zikionyesha mpaka mwaka wa kumaliza Chuo.
Napenda kujua kama ni halali au ka mradi ka bwana mdogo pale udom,yeye hujita Kuku alaliae a.k.a kondo Mweusi or Mr Tolu.
Naomba kutoa Hoja.
Duh 5000*7000 hawa ni first year tu.