jrmpya
Member
- Dec 3, 2014
- 74
- 58
Global forum on agriculture research,GFAR inatoa funding opportunity kwa vijana wote ulimwenguni wenye umri chini ya miaka 39 wanaofanya au wenye mawazo mazuri juu ya kilimo, uvuvi na ufugaji.
Mwisho wa kutuma proposal ulikuwa ni tarehe 11 mwezi wa tatu 2016, ila wakabadilisha na kuwa tarehe 9 mwezi wa tatu 2016.
Fursa hii niliigundua siku chache zilizopita na kwa neema ya Mungu nimefanikiwa kutuma proposal yangu tarehe 9, unaweza ukaipitia na kujua wazo nililonalo juu ya Taifa letu la Tanzania.
Naomba msiache kucomment chini ya proposal yangu pamoja na kushare katika mitandao ya kijamii maana kwa kufanya hivyo mtaifanya proposal yangu kuwa katika fursa hii na kuwa ni moja kati ya proposal 20 zitakazo chaguliwa, hii ni muhimu sana ndugu zangu .Kuiona proposal na kucomment (muhimu sana) tembelea hapa YAP proposal #371: Enabling Local Fresh Organic Producers to Succeed in the European Market (Joel Robert, Tanzania)
Fursa bado zipo, wewe ambaye umekuwa ukitafuta funds, usijali zipo fursa mbalimbali za kuwezeshwa na nyingi mno, tembelea www.terravivagrants.info
Nakaribisha maswali pamoja na mawazo.
Karibuni sana,
Asanteni kwa upendo wenu.