Acha dharau, Mimi mke wangu namuona anawasha laptop hadi Jumapili anapiga kazi na siku nyingine akitoka kazini baada ya kumaliza kuandaa chakula usiku anawasha laptop kuandika taarifa au kumalizia ripoti inatakiwa asubuhi kazini kwao. Kwa hiyo siamini kama ni mtegemezi ofisini kwao. Pia nawajua baadhi ya wanaume wanaenda kazini wanakaa dk chache wanachomoka kwenda BAR ya jirani kupiga masanga. Vipi kuhusu wale akina Dada wa benki hasa Tellers, kuanzia saa tatu asubuhi hadi jioni wanapiga kazi tu, sijawahi kuona mwanaume pembeni akiwafanyia kazi kama unavyotaka tuamini. Wewe lazima utakuwa Mkurya unaamini wanaume tu ndio wanaweza kufanya kazi wanawake hamna kitu, hutaki kuachana na imani potofu. Vipi kuhusu Halima Mdee, juzi napiga kazi ya maana Sana pale Furahisha Mwanza

acheni dharau,wawezesheni wanawake wanaweza.Uko vyuoni SI kujipendekeza Tu nahuwa wanaume mnakuwa kimaslahi zaidi
Jeova!!...hatari
![]()
acheni dharau,wawezesheni wanawake wanaweza.Uko vyuoni SI kujipendekeza Tu nahuwa wanaume mnakuwa kimaslahi zaidi
Na rais akiwa me makamu wake awe ke.Sasa Mnaonaje na JWTZ iwe 50/50.
Kuna ujinga mwingi uliofanywa na Warioba na timu yake ambao hausemwi. Eti wajinga wanasema Warioba agombee urais!
50/50 haita punguzi uwanaume wetu.
Tatizo wengi hapa mmelea mabinti bila kuwawezesha, au mmeoa wanawake ambao hawakuwezeshwa na wala hamja wawezesha.
Dunia ya sasa sio ile ya mababu zetu jamani. Mwezeshe mwanamke ili Jamii ipige hatua.
Kila mtu ana contribute kivyake, tusidharau bila kufikiria
Ukiamua kuoa binti, basi hilo likubali, si atakuzalia watoto na kuwalea?
Kama vipi, basi limbikiza mali kabla ujaoa. Au usioe kabisa...