5 ways to make a girl love youmore;

5 ways to make a girl love youmore;

1. Give her money
2. Keep giving her money
3. Dont forget to give her money
4. Just continue giving her money
5. Dont get tired, just continuegiving her money repeatedly....


Am I right?

Not you are not alright ur very sick!
 
mwekundu habari ya siku mbili tatu. hapana tunajielewa bana sema baadhi yenu hamtuelewagi.
hizo kauli zako angeziona mushi mzee wa ufosarolisation sijui kama angekubaliana na wewe
Hao watu hawajielewi hata wenyewe hawajui wanahitaji nini kwenye relationship,hata King seleman ameshawahi kukiri
 
Last edited by a moderator:
Renumeration zake utaziona once huna kitu...nionavyo hii tabia ya kutengeneza mafungamano yanayotokana na mali/utajiri/vijizawadi and likely ni kansa kubwa sana kipindi mhisani akiwa kwenye crisis ya maisha...
 
Yaaa kama ni girl ni sawa ila kwa woman,usijiaminishe kwamba anakuwa anahitaji money everytime..usikariri maisha..
 
Keep flashing out money,and u will keep wondering why u get GOLDDIGGERS...!!!
ATTITUDE kama yako inafurahisha sana,na mtaendelea kuchunwa ,kwani mnatafta za nin afterall...
 
Labda kwa msichana kama ulivyosema lakini si kwa mwanamke maana pamoja na kumpa pesa kadili unavyoweza haimaanishi ndo atakupenda unaweza usiwe moyoni mwake hata chembe ukaishia kulia tu kama unaroho nyepesi zaidi uakona duniani hapakufai ukatafuta sehemu mbadala(ukajiua)
 
lara 1 kuna mtu ana sera nzuri sana huku!
Japo sasa sijui kama ni mtekelezaji mzuri wa sera zake!
 
Last edited by a moderator:
hapo unaharibu kabisa .....nayeye atakuchuna weeeeeee.ukifuria unabwagwa anaenda kwamwengine...au ukizid kumpa ela ye anazidi kukupa ukimwi weeeeee..
 
Give her money afu uwe hauna uwezo wa kumgegeda ndo utaona moto wake....
 
mwekundu habari ya siku mbili tatu. hapana tunajielewa bana sema baadhi yenu hamtuelewagi.

Siku zote najuaga DEMBA ni kidume daah kumbe ni mdada?!.....can we have happy this xmass baby...!?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom