Mweusi Mweupe
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 332
- 322
Wewe una ngapi? Tangazo liko wazi kuwa mazungumzo yapo, usihofu.
Kwa 5M tu napata ekari 4 kule nala 12 km tokea Dodoma mjini.
Wewe una ngapi? Tangazo liko wazi kuwa mazungumzo yapo, usihofu.
Hata Maili mbili au Msalato unaweza kupata. Unaweza kuweka morgage shamba la Nala? Ok ukianza utaratibu wa kupima hadi kupata hati, ekari moja ya huko Nala itakugharimu kiasi gani? Ukiweka kitega uchumi kama shopping malls au supermarket, wanakijiji wa Nala ndio watakuwa wanunuzi wako wakuu?Kwa 5M tu napata ekari 4 kule nala 12 km tokea Dodoma mjini.
wewe una uza nyumba au una uza uwanja?Mkuu sio nyingi sana kwa mwekezaji anayehitaji eneo kubwa mjini. Hivi nyumba moja ya gharama nafuu ya NHC inauzwa kiasi gani? Ukijua hilo ndipo useme kama 500m kwa ekari 5 ndani ya manispaa kama ni kubwa sana au ni wastani.
Vv
hiyo barabara ina chepuka kwenda wapi?Hizo factors ndizo zinazo-dermine bei ya soko hapo Iyumbu, ,kuwa karibu na UDom ni factor nyingine, barabara ya kutoka Dar inachepukishwa kule.
Sasa utahamisha mtaa kule mmoja pale Majengo, Kizota au Chang'ombe, ukiwajengea English Medium school watawaleta watoto wao wasome hapo? Ukiweka shopping mall au Supernarkets Chang'ombe au Majengo hao wakazi wa maeneo hayo ndio wanunuzi wakuu wenye hadhi za kufanya shopping kwenye hizo supermarket na shopping malls utakazowawekea wakazi wa NHC Iyumbu?
Hata hivyo maongezi kwa aliye serious yapo. Unakaribishwa.
huko ndipo ule uwanja mpya utajengwa huko... upo karibu na fursa... wamerudisha huko baada ya kuona kuko bora zaidiKwa 5M tu napata ekari 4 kule nala 12 km tokea Dodoma mjini.
Nala wanakuja kujenga uwanja mpya dodoma, hivyo ana fursa, huko nala kuna maeneo ya vyuo kama st. john, mipango, chuo cha uuguzi nk...Hata Maili mbili au Msalato unaweza kupata. Unaweza kuweka morgage shamba la Nala? Ok ukianza utaratibu wa kupima hadi kupata hati, ekari moja ya huko Nala itakugharimu kiasi gani? Ukiweka kitega uchumi kama shopping malls au supermarket, wanakijiji wa Nala ndio watakuwa wanunuzi wako wakuu?
Hata Maili mbili au Msalato unaweza kupata. Unaweza kuweka morgage shamba la Nala? Ok ukianza utaratibu wa kupima hadi kupata hati, ekari moja ya huko Nala itakugharimu kiasi gani? Ukiweka kitega uchumi kama shopping malls au supermarket, wanakijiji wa Nala ndio watakuwa wanunuzi wako wakuu?Kwa 5M tu napata ekari 4 kule nala 12 km tokea Dodoma mjini.
Una kiasi gani tuzungumze biashara ?huko ndipo ule uwanja mpya utajengwa huko... upo karibu na fursa... wamerudisha huko baada ya kuona kuko bora zaidi
mkuu maeneo ninayo mjini hapa labda kama nikusaidie kununua... kama una pesa ya kufanya hivyo na kama una pesa nikupimie pia... maana ndio kazi hiyo niifanyayo...Hata Maili mbili au Msalato unaweza kupata. Unaweza kuweka morgage shamba la Nala? Ok ukianza utaratibu wa kupima hadi kupata hati, ekari moja ya huko Nala itakugharimu kiasi gani? Ukiweka kitega uchumi kama shopping malls au supermarket, wanakijiji wa Nala ndio watakuwa wanunuzi wako wakuu?
Una kiasi gani tuzungumze biashara ?
Nahitaji kupimiwa Chahwa!, na Ipala,mkuu maeneo ninayo mjini hapa labda kama nikusaidie kununua... kama una pesa ya kufanya hivyo na kama una pesa nikupimie pia... maana ndio kazi hiyo niifanyayo...
Bora niendelee kuishi Bunda tu au niende morogoro vijijini ambako hizo million 500 naweza nunua kijiji kizimaKiwanja chenye ukubwa wa ekari 5.2 kinauzwa Dodoma mkabala na NHC Iyumbu Estate Centre ambapo rais alizindua mradi wa Iyumbu Estate Center na kununua nyumba 60. Mradi wa NHC ni nyumba 300. Eneo liko kilometer 2 kutoka UDom Administration block.
Kiwanja kina hati ya miaka 33 iliyotolewa na CDA na limetengwa kwa ajili ya shule ya sekondari ingawa sheria inaruhusu mabadiliko. Bei ni 500m na mazungumzo yapo.
Call or Sms 0787377511
mkuu J4 tuna weza onana pale manispaa...?Nahitaji kupimiwa Chahwa!, na Ipala,
Pia nauza beach plot haijapimwa heka 6 bei 2,000,000/@
Katikatin Ipala na Hombolo!
BARABARA mpaka site!
Umeme hauko
Bichi ina ndege wazuri sana! Wanavutia ! Picha mbali
,nitakutafuta Mkuu!mkuu J4 tuna weza onana pale manispaa...?
Sawa,nitakutafuta Mkuu!
Aksante sana!
Hilo shamba bei yake hali ni 15MilWewe una ngapi? Tangazo liko wazi kuwa mazungumzo yapo, usihofu.
NO COMMENT Mkuu..Mkuu, thamani ya nyumba za Iyumbu haitokani na thamani ya kiwanja bali inatokana na ukweli kwamba nyumba zile NHC wamejenga kwa mkopo, kama tujuavyo mikopo ina riba inayotozwa kila mwaka, hivyo hiyo riba ime inflate bei ya nyumba zile.
Pili, NHC ndio waliopeleka maji pale na umeme na wamevuta toka mbali, hivyo gharama hii imeongezwa kwenye gharama ya nyumba.
Tatu, NHC wanatengeneza barabara wenyewe ambazo zinachongwa kwa motorgrader, yote hiyo imeongezwa kwenye gharama za nyumba.
nne, ni kuwa nyumba za NHC ile bei imekuwa inflated sana kwasababu hazina thamani ya ile bei tuliotajiwa, nyumba ya 76M mtu unaweza kujenga kwa 30-40M. Infact kwa mtu mchumi na anaeweza kusimamia ujenzi wa nyumba yake hawezi nunua nyumba za NHC kwa bei ile. Naamini, bei ya nyumba za NHC iyumbu kwa asilimia zaidi ya themanini haitokani na thamani ya ardhi pale bali ni factors nyingine.
Je, wewe viwanja vyako umeshakita nguzo za umeme? umeshaweka maji? Umeshachonga barabara ya kutoka na kuongia ambayo ina water drainage system?
Jifunze biashara vizuri mkuu, pia jifunze kufanya valuation. Eka moja Dodoma maeneo mengi ambayo bado haijapimwa ni 3M, Maeneo ambayo imepimwa ni 12-20M. Pole mkuu. Limbukeni ndio anaweza nunua hilo plot lako kwa 500M. Tambua tu kuwa thamani ya ardhi ya Dodoma mjini iliyopimwa ni 1SQM haizidi 6,500. This is a fact.