Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,440
- 1,029
- Thread starter
- #21
Msichoke wakuu,(b)Dogo alipofika home,aliitwa na wateja watatu dukani.Hawa wateja wanataka kununua lita 8 za mafuta kila mmoja.Dukani kuna ndoo ya mafuta ya lita 24 imejaa full,ndoo moja tupu ya lita 13,ndoo moja tupu ya lita 11 na ndoo moja tupu ya lita 5.Dogo anataka tena msaada wa jinsi ya kugawanya hayo mafuta lita 8 kwa kila mmoja wa hao wateja watatu.