hasason
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 1,648
- 1,542
Je haya ndiyo matokeo ya elimu aliyosema Mbatia.
Usiku huu kwenye taarifa ha habari ITV kuna dada mmoja alikuwa anaongelea kuhusu gazeti la the gurdian na Nipashe kuzindua huduma ya yaarifa kwa njia ya sms kupitia tigo kasema mteja atakuwa anapokea msg nne kwa mpigo mara nne akakazia kwamba nne mara nne ni kumi na nane.
me siamini kama wewe hujui kuandika neno 'taarifa' bali imetokea tu umekosea, na wewe mchukulie mwenzako kama amekosea tu na sio kwamba hajui hesabu, wanadamu wengi hushika kosa/baya 1 kati ya mema 100000.