4X4=18, Taarifa ya habari ITv

4X4=18, Taarifa ya habari ITv

Je haya ndiyo matokeo ya elimu aliyosema Mbatia.
Usiku huu kwenye taarifa ha habari ITV kuna dada mmoja alikuwa anaongelea kuhusu gazeti la the gurdian na Nipashe kuzindua huduma ya yaarifa kwa njia ya sms kupitia tigo kasema mteja atakuwa anapokea msg nne kwa mpigo mara nne akakazia kwamba nne mara nne ni kumi na nane.

Hiyo sio issue sana. Je, ni nani mbulula kati yake na yule Waziri aliyesema kwenye mkutano wa viongozi mbalimbali duniani kwamba Tanzania ni Muungano wa nchi ya Zimbabwe na Mozambique?
 
yule dada alionekana ana 'tension' na hajiamini hivi, duh itv nao hata ku edit lol..sista duu kaumbuka mbele ya kioo
 
Markethng officer wa nipashe/guardian?dah katoa kihoja. Yan nimehisi natafuna mchanga,kasema mtu atapokea nne kwa mpigo,akaongezea...nne mara nne nadhani ni 18. Dah kwa kwel airtime kahiaribu bure. Alaf ukiingia jukwaa la kazi unakutana na wale wa ...nina llb first class,natafta kazi...wale wa ...nina cpa natafta kazi...aah aah aah mtakaa sana,wenzenu wa 4x4 washakula vitengo. Wengne wanasema Tanzania is union btwn tanganyika and zimbabwe...in one ninteen sixty four(11964)... Tanzania Tanzania
 
Inawezekana kasoma mitaala feki ya kawambwa
 
Nyie hamkosei?

"To know the enemy is half the victory"
 
urembo wake ndo umempa kazi kichwani hamna kitu.
 
Markethng officer wa nipashe/guardian?dah katoa kihoja. Yan nimehisi natafuna mchanga,kasema mtu atapokea nne kwa mpigo,akaongezea...nne mara nne nadhani ni 18. Dah kwa kwel airtime kahiaribu bure. Alaf ukiingia jukwaa la kazi unakutana na wale wa ...nina llb first class,natafta kazi...wale wa ...nina cpa natafta kazi...aah aah aah mtakaa sana,wenzenu wa 4x4 washakula vitengo. Wengne wanasema Tanzania is union btwn tanganyika and zimbabwe...in one ninteen sixty four(11964)... Tanzania Tanzania
 
Je haya ndiyo matokeo ya elimu aliyosema Mbatia.
Usiku huu kwenye taarifa ha habari ITV kuna dada mmoja alikuwa anaongelea kuhusu gazeti la the gurdian na Nipashe kuzindua huduma ya yaarifa kwa njia ya sms kupitia tigo kasema mteja atakuwa anapokea msg nne kwa mpigo mara nne akakazia kwamba nne mara nne ni kumi na nane.

Hao wapo wengi sana na sio kosa lao,ndo zile za mtoto wa baba mkubwa mfanyie mpango apate kaz,yan hata tebo hakusoma
 
Watu wengine bwn sijui wamezaliwa wapi. Hiyo mmeifanya issue badala ya kufikiri ya maana mnakaa kukosoa kitu ambacho hata hakileti madhara

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
mtu asiyejuwa multiplication table automatically anakuwa na tatizo jingine la nyongeza .........hajui hasi na chanya.

na mtu mwenye matatizo hayo mawili huwa hajui hesabu maisha.

Rudia tena!
 
Hiyo sio issue sana. Je, ni nani mbulula kati yake na yule Waziri aliyesema kwenye mkutano wa viongozi mbalimbali duniani kwamba Tanzania ni Muungano wa nchi ya Zimbabwe na Mozambique?

Wote sawa
 
Katakua kamesoma sociology hako kwi kwi kwi
 
Makosa ya kawaida jamani tumsamee ila pia tujue namba ni kitu kingine kwa jamii nyingi hapa tanzania.
 
Utasikia mengi wewe subiri na hao waliofanyiwa standadization wapakuliwe ndiyo utalijua jiji
 
Back
Top Bottom