4X4=18, Taarifa ya habari ITv

4X4=18, Taarifa ya habari ITv

Wa kusoma

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2011
Posts
3,454
Reaction score
2,984
Je haya ndiyo matokeo ya elimu aliyosema Mbatia.
Usiku huu kwenye taarifa ha habari ITV kuna dada mmoja alikuwa anaongelea kuhusu gazeti la the gurdian na Nipashe kuzindua huduma ya yaarifa kwa njia ya sms kupitia tigo kasema mteja atakuwa anapokea msg nne kwa mpigo mara nne akakazia kwamba nne mara nne ni kumi na nane.
 
Nimeiona hiii hahaaahaaaa nimecheka saaana eti tension ya kamera........
 
Hata mimi nilimwona.

Nilishtuka sana; sijui ni marketing officer wa tiGo ?

Sijui alipitaje interview.
 
Sas hii ni habari ya siasa? Mbona we uliyepost mwenyewe huna ufahamu?
 
Acheni udhaifu kutafuta kasoro kwa wenzenu,mwengine anapokosea chukua hilo kwa manufaa yako, si ajabu wewe unafanya makosa zaidi ya huyo aliyekosea pengine kwa bahati mbaya. We are bound to do mistake.
 
Je haya ndiyo matokeo ya elimu aliyosema Mbatia.
Usiku huu kwenye taarifa ha habari ITV kuna dada mmoja alikuwa anaongelea kuhusu gazeti la the gurdian na Nipashe kuzindua huduma ya yaarifa kwa njia ya sms kupitia tigo kasema mteja atakuwa anapokea msg nne kwa mpigo mara nne akakazia kwamba nne mara nne ni kumi na nane.

Hii hutokana na kupitiwa tu
maana yeye kasema 4*4=18
na wewe umeandika yaarifa baadala ya taarifa katika maelezo yako ya kina.
 
Alikuwa anaongea kwa mapozi sana..kwenye hesabu hakuna mapozi..ni facts and figures tu..Analeta usistadu kwenye hesabu lazima uumbuke.. I felt bad for her..
 
Je haya ndiyo matokeo ya elimu aliyosema Mbatia.
Usiku huu kwenye taarifa ha habari ITV kuna dada mmoja alikuwa anaongelea kuhusu gazeti la the gurdian na Nipashe kuzindua huduma ya yaarifa kwa njia ya sms kupitia tigo kasema mteja atakuwa anapokea msg nne kwa mpigo mara nne akakazia kwamba nne mara nne ni kumi na nane.
ha ha ha ha..... ndugu sicheki kwa kile ulichokiandika nacheka kwa kasumba yetu watz kushikilia zaidi sehemu mtu alipoksea kuliko hata sehemu nzuri ambazo wakati mwingine zinamanufaa kwako zinakupita,
nakumbuka kipindi niko shule mwalimu au mwanafunzi mwenzako anapokosea siku nzima au hata maishani mwako utakuwa na kumbukumbu ya hiko kosa. lakini mazuri watu mara chache kuyakumbuka kuliko mabaya, mfano ile ya Mulugo na Muungano wa tz, asingekosea pengine tusingejua hata alihudhuria huo mkutano
 
Je haya ndiyo matokeo ya elimu aliyosema Mbatia.
Usiku huu kwenye taarifa ha habari ITV kuna dada mmoja alikuwa anaongelea kuhusu gazeti la the gurdian na Nipashe kuzindua huduma ya yaarifa kwa njia ya sms kupitia tigo kasema mteja atakuwa anapokea msg nne kwa mpigo mara nne akakazia kwamba nne mara nne ni kumi na nane.

mtu asiyejuwa multiplication table automatically anakuwa na tatizo jingine la nyongeza .........hajui hasi na chanya.

na mtu mwenye matatizo hayo mawili huwa hajui hesabu maisha.
 
alikuwa anaongea kwa mapozi huku akitaka kuweka english akawa kama anasita hivi. Hii yote nadhani ni kutojiamini.
 
uzuri si hoja. bint uzuri wote ule kumbe kwenye hesabu 4x4=18?
 
huyo dada ndio walewaliobadilishiwa matokeo form 4 ya 2012 matokeo ya mwanzo yalikuwa 4x4 =44 ahsante waziri wa elimu
 
Back
Top Bottom