MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,619
- 21,363
jana nchi ilisimama kwa masaa kadhaa baada ya muwekezaji mkubwa kwenye suala la mitandao ya kijamii kutimiza miaka mitatu ya uwekezaji baada ya kutoka ulaya na Marekani na utajiri wa kutisha uliofikia dola 500 baada ya kukaa huko miaka 30.
Sherehe hiyo iliambatana na kufungwa kwa barabara kadhaa huku askari wakitawanywa kila kona ili kumhakikishia usalama muwekezaji huyo ambapo askari hao walitumia helkopta,farasi na magari maalum.
Muwekezaji huyo aliyeshindwa kuingia Dubai baada ya shirika la ndege kumwambia ajitegemee nauli,ambapo alisema kwa sasa yuko vibaya financially kabla ya kupata sponsor mwingine ambaye alikubali kumlipia nauli lkn kama atakubali kwenda Sokoto Nigeria na sio Dubai tena.
Sherehe hiyo ilifana zaidi baada ya viongozi wa kiserikali waliposhauri Lemutuz apate usajiri kutoka brela ili Wakenya wasije wakasema Akili kubwa anatoka Nakuru.
Mpaka leo mchana muwekezaji huyo alikuwa double tree by Hilton akipata coffee kwa ajili ya kuchangamsha Le Ubongozz kabla ya kuja na live straight talk