3G Network Yaingia Tarime. Oyeeeee!!!

3G Network Yaingia Tarime. Oyeeeee!!!

kuna network ilikuwa inaitwa Rural NetCo ikimilikiwa na Ericsson, walichokifanya wao ni kufunga mitambo ya 3G kwenye tower za voda na kuwauzia voda internet( wanajua wenyewe walivyokuwa wanagawana mapato) but imedumu kwa miaka miwili tu na kuuzwa kwa waarabu, sina hakika zaidi kama ndio hao tritel ila its more probably ndio hao wamenunua.

Nawapongeza sana Tritel (T) Ltd kwa kuwajali watu wa Tarime kwa kuwaletea mtandao wa kasi. Sikuamini macho yangu kwa sababu nilijua
Voda ndio wangelianzisha na sasa hivi naEnjoy Speed yake.
 
Hii kitu kwenye modem nikisearch inaleta mitandao mingine lakini Tritel haiji sijui kwa nini na dashboard nilizotumia ni mobily, beetel, 3connect na join air kwenye modem ya mf190 yenye HSUPA
 
Hii kitu kwenye modem nikisearch inaleta mitandao mingine lakini Tritel haiji sijui kwa nini na dashboard nilizotumia ni mobily, beetel, 3connect na join air kwenye modem ya mf190 yenye HSUPA

tafta tz01 ndo hio hio tritel
 
Back
Top Bottom