3d tv broadcast

3d tv broadcast

let me make this clear,nimeshaangalia 3D CINEMA its absolutely magic,nadhani ni kwa sababu ya movie effect n.k....lakini kwenye football sikuona tofauti kubwa na HD TV BROADCAST,but its very very clear,tofauti niliiona ni kama camera iko behind goal ule mpira unakuja usoni kwako kabisa lakini otherwise its just clearer than normal tvs.
na zote lazima uvae miwani na nilivaa na nikavua,niliweza kufananisha na normal tv coz zote zilikuwa zinaonyeshwa pamoja
 
Hapana miwani hiyo ya kuangalizia katika 3D TV set si cheap ndugu yangu. Miwani ya wakubwa ni $299 na watoto ni $249 (sasa fikiria nyumba ya mume, mke na watoto wanne na mishahara ya kwetu) hii ni samsung ambayo ndiyo wametoa set zao za 3D TV mwezi uliopita. Sony niliwauliza wanadaia wao set zao za 3D zitaanza kupatikana June, lakini awali vitu hivi huwa na bei mbaya na baada ya muda vinaanza kushuka taratibu.

kaka heshima mbele,nimeenda zaidi ya mara 3 kuangalia 3D cinema na mara zote narudi na 3D glasses kwa kiingilio cha £8 sasa jamaa si wangepata hasara kugawa hii miwani bure
usichanganye 3D GLASSES na 3D GLASSES ZA RAYBAN AU OAKLY hizo kweli zitakuwa $200-300
 
Jana nilikuwa naangalia mechi kati MAN UTD na MAN CITY kwenye 3D TV CHANNEL, kwa kweli nilichokiona hakikunishawishi kununua 3D TV once zikianza kuuzwa madukani.

Sikuona tofauti kubwa sana na normal channel (zilikuwa zinaonyeshwa sambamba) zaidi ya clarity ambayo unaweza kuipata ukitumia HD CHANNEL.

Je wenzangu ambao mmeona 3D TV mmeionaje?

Mkuu nakushauri nunua kwa sababu nilipata bahati ya kuangalia demonstration ya Jamaa wa Smasung kama mwezi mmoja uliopita na tulikuwa kama watu watano hivi na miwani ilikuwa moja kwa kweli nilitamani nisiivue ile miwani kutokana na utofauti uliokuwepo
 
[/COLOR]

Mkuu hata kama una 3D capable receiver kama Broacasters hawana 3D transmission system itakuwa ni kazi Bure. Mfano kwa bongo hata uwenayo 3D capable receivers utaona 2D kwa sababu TBC , ITV are not broadcasting 3D contents na ndio maana now 3D ni vitu ambavyo vinaoneshwa kwenye cinema halls

Umeandika point kubwa sana na uko sahihi 100% kama broadcasters wako hawana 3D transmission system ni kazi bure kununua 3D TV maana hutaweza kufaidi quality ya TV hizo hata kama utavaa miwani ya 3D.
 
[/COLOR]

Mkuu hata kama una 3D capable receiver kama Broacasters hawana 3D transmission system itakuwa ni kazi Bure. Mfano kwa bongo hata uwenayo 3D capable receivers utaona 2D kwa sababu TBC , ITV are not broadcasting 3D contents na ndio maana now 3D ni vitu ambavyo vinaoneshwa kwenye cinema halls

mkuu, SKYSPORTS wana 3D CHANNEL kwa sasa iko kwa selected PUB AND BARS,but by 29 april wataweka kwenye satellite tv service yao kwahio mtu mwenye 3D TV ataweza kuona 3D BROADCAST
 
kwa hiyo ukinunua hiyo 3D inabidi uvae na miwani yake ndio utaona tofauti....hahaaa. sasa uto tumiwani tunaweza kuwa tungapi kwenye seti moja ya 3D maana familia zetu hizi za watoto watatu plus baba na mama , bila kusahau ndugu mmoja wa upande wa mume na mmoja wa upande wa mke , plus dada wa kazi , bado jirani hajakuja kuangalia DSTV ili amuone ROONEY ama Scholes akifunga goli la kichwa....kweli nahisi kama tumiwani hatutatosha maana .
Miwani zake ni very cheap.... hata wewe unaweza kutengeneza mwenyewe....
 
kaka heshima mbele,nimeenda zaidi ya mara 3 kuangalia 3D cinema na mara zote narudi na 3D glasses kwa kiingilio cha £8 sasa jamaa si wangepata hasara kugawa hii miwani bure
usichanganye 3D GLASSES na 3D GLASSES ZA RAYBAN AU OAKLY hizo kweli zitakuwa $200-300

Miwani zinatofautiana Quality kwa hiyo hata efficiency yake lazima itakuwa Tofauti
 
Mkuu nakushauri nunua kwa sababu nilipata bahati ya kuangalia demonstration ya Jamaa wa Smasung kama mwezi mmoja uliopita na tulikuwa kama watu watano hivi na miwani ilikuwa moja kwa kweli nilitamani nisiivue ile miwani kutokana na utofauti uliokuwepo

nimekusoma mkuu
 
Mbebabox,
Jamaa kidogo wamekuchanganya. Ulichoandika ni kweli kabisa na si uongo. Ukweli ni kama ntakavyoandika hapa chini.

Tangu watengeneze film ya AVATAR ambayo ilikuwa ni film ya kwanza kutengeneza moja kwa moja ikiwa kwenye 3D na nyingine kwenye 2D (kumbuka kuna kamera tayari za 3D). Sasa kinachotokea hapo, ni tofauti na ilivyokuwa zamani.

Niliposikia kuwa kuna TV 3D, nilifuatilia na kufahamu habari chache. Ukweli ni kwamba hadi leo hii, wako kwenye utafiti kwani picha za 3D kwenye TV hazijawa kwenye kiwango cha kufurahisha. Na wanakiri kuwa hii itawachukua muda. Lengo hasa ni kwamba mmtu uwe na uwezo wa kuangalia TV bila ya kutumia miwani. Kuna jamaa yangu Europe nilimuuliza baada ya kuangalia film ya Clash of Titans (2010) ameniambia jambo ambalo kidogo limenishangaza. Anasema kuwa "wakati akiangalia, (hakuwa Imax) walipewa miwani ya 3D, wakati akiangalia, hakufurahishwa sana na quality ya picha na akaamua kuondoa miwani ili aisafishe. Alishangaa kuwa aliweza kuangalia hiyo film bila miwani. Aliamua kuangalia hiyo film hadi mwisho bila kutumia miwani na picha iliendelea kuonekana nzuri tu ingawa si ile quality aliyoizoea. Image zilikuwa ndiyo zinasogea ila hazisogei sana kwa waangaliaji kama inavyotakiwa kuwa...."
Kwa maana nyingine nilivyomuelewa ni kwamba, ukiangalia film za 3D bila miwani, unaona kama image zimelaliana na zinaumia macho. Hii unaangalia bila ya miwani na unaona effect na macho hayaumi. Na hii kama nilivyosoma mwanzo, lengo la 3D TV na Film ni kuwa huko mbele watu wawe wanaangalia bila ya kutumia miwani. Tayari wameanza kutengeneza na utafiti unaendela na kama sikosei waliandika itachukua muda sana kufikia leongo ambalo waangaaliaji watafurahia product zao.

Kwa hiyo mkuu, kama uliangalia bila miwani, ni sawa tu. Kama mtu unahela ya kuchezea, unaweza kwenda kununua hizi TV set zikianza kuuzwa ila kama hela yako ya kutafuta kwa mbinde, basi vuta subira kwenye miaka kama mitano ijayo, wanaweza kuwa wameboresha sana quality yake. Soma maelezo ya 3D TV hata kwenye wikipedia wameandika kidogo kuhusu weak quality ya hizi TV kwa sasa.
 
Miwani zinatofautiana Quality kwa hiyo hata efficiency yake lazima itakuwa Tofauti

Mamiwani yote yako sawa. Sanasana kwa quality basi ni aina ya materials iliyotumia. Cha muhimu inatakiwa kuwa Polarised. Miwani yote iliyo polirised inatabia moja, ukiangalia saa za kukonyeza, kama sikosei hata hizi screen za TFT, basi huoni kitu. Angalia kwenye EBAY, kama sikosei, Waitaliano ndiyo watengenezaji wakubwa wa hii miwani.

Zamani, bila miwani basi utaona kitu kama hiki kwenye hii picha.
3D-television-illustratio-001.jpg

Ukivaa miwani basi inakuwa kama picha chini. Ila sasa utaona bila miwani, ingawa wanadai kwa mfano huo mkono unakuwa mfupi kidogo kutoka kwako. Kwa kawaida, unaweza kuogopa kuwa anataka kukuwekea hilo tunda mdomoni. I wish ningelikuwa na mie UK 🙂
3D%20TV%20without%20glasses.jpg
 
Mbebabox,
Jamaa kidogo wamekuchanganya. Ulichoandika ni kweli kabisa na si uongo. Ukweli ni kama ntakavyoandika hapa chini.

Tangu watengeneze film ya AVATAR ambayo ilikuwa ni film ya kwanza kutengeneza moja kwa moja ikiwa kwenye 3D na nyingine kwenye 2D (kumbuka kuna kamera tayari za 3D). Sasa kinachotokea hapo, ni tofauti na ilivyokuwa zamani.

Niliposikia kuwa kuna TV 3D, nilifuatilia na kufahamu habari chache. Ukweli ni kwamba hadi leo hii, wako kwenye utafiti kwani picha za 3D kwenye TV hazijawa kwenye kiwango cha kufurahisha. Na wanakiri kuwa hii itawachukua muda. Lengo hasa ni kwamba mmtu uwe na uwezo wa kuangalia TV bila ya kutumia miwani. Kuna jamaa yangu Europe nilimuuliza baada ya kuangalia film ya Clash of Titans (2010) ameniambia jambo ambalo kidogo limenishangaza. Anasema kuwa "wakati akiangalia, (hakuwa Imax) walipewa miwani ya 3D, wakati akiangalia, hakufurahishwa sana na quality ya picha na akaamua kuondoa miwani ili aisafishe. Alishangaa kuwa aliweza kuangalia hiyo film bila miwani. Aliamua kuangalia hiyo film hadi mwisho bila kutumia miwani na picha iliendelea kuonekana nzuri tu ingawa si ile quality aliyoizoea. Image zilikuwa ndiyo zinasogea ila hazisogei sana kwa waangaliaji kama inavyotakiwa kuwa...."
Kwa maana nyingine nilivyomuelewa ni kwamba, ukiangalia film za 3D bila miwani, unaona kama image zimelaliana na zinaumia macho. Hii unaangalia bila ya miwani na unaona effect na macho hayaumi. Na hii kama nilivyosoma mwanzo, lengo la 3D TV na Film ni kuwa huko mbele watu wawe wanaangalia bila ya kutumia miwani. Tayari wameanza kutengeneza na utafiti unaendela na kama sikosei waliandika itachukua muda sana kufikia leongo ambalo waangaaliaji watafurahia product zao.

Kwa hiyo mkuu, kama uliangalia bila miwani, ni sawa tu. Kama mtu unahela ya kuchezea, unaweza kwenda kununua hizi TV set zikianza kuuzwa ila kama hela yako ya kutafuta kwa mbinde, basi vuta subira kwenye miaka kama mitano ijayo, wanaweza kuwa wameboresha sana quality yake. Soma maelezo ya 3D TV hata kwenye wikipedia wameandika kidogo kuhusu weak quality ya hizi TV kwa sasa.

umenisoma vizuri,alichokiona huyo rafiki yako ndio mimi nimekiona kabisa,nakumbuka kuna watu niliokuwa naangalia nao hawakuvaa miwani,na mama mmoja akaniuliza ''does it make big difference?(yeye alikuwa hakuvaa miwani) nikamwambia nope akasema ''thats why i dont bother put on those silly glasses''
 
Philips has revealed an impressive three-dimensional television at its annual presentation of corporate research. The television can show 3D video to the naked eye without the need for special glasses to pull off the effect.

The prototype, called WOWvx, works by combining slightly different angles of the same image to produce video with different depths. Tiny lenses are placed over each of the millions of sub-pixels in the screen which project light at one of nine angles through the front of the display. This process sends slightly different images to the left and right eyes to create the effect and can do so regardless of the angle you're watching it from.

From: http://www.markstechnologynews.com/2008/05/phillips-presents-3d-tv-without-glasses.html
 
Sikonge asante sana, hawa Phillips watazoa wateja wengi sana kwa kuwa set zao hazitahitaji miwani maalum ili kuangalia na tayari ni leaders katika hii technology ya 3D TV set kama kweli wataweza kuja na kitu ambacho kina quality ya hali ya juu kama 3D TV sets za makampuni mengine lakini ya kwao haihitaji miwani.

3D TV is Great!

Why are 3D TV so great anyway? Image you are sitting in your living room. But what you see is the rainforest, trees and water, and animals moving around... It is so real you feel you can touch them. With High Definition screens in 3 Dimension (HD 3D) this is actually possible. Then, blink, and you are standing on a mountain top, or at the savanna, or blink - in a computer generated video game! All the same realistic feelings. And just think about the advertising breaks, beer mmh, I'll take some... oops! touched the screen, maybe I'll go to the kitchen and get one!
3D TV - Fantastic News

It is Philips who is the main attraction on the publicly open shows that has brought 3D Television to the publics eye. But there are other companys, for example Luxemburg based SeeReal and Orange Company.
3D TV Film by Spielberg and James Cameron

Besides ordinary Television and computer games, of course movies will be a huge market for 3D TV screens. Already do we hear about top directors like Steven Spielberg and James Cameron filming in 3 Dimension. And believe it, when people start to watch 3D Films no one will watch film in 2 Dimensions. It will be like film with no color...
 
Mkuu nakushauri nunua kwa sababu nilipata bahati ya kuangalia demonstration ya Jamaa wa Smasung kama mwezi mmoja uliopita na tulikuwa kama watu watano hivi na miwani ilikuwa moja kwa kweli nilitamani nisiivue ile miwani kutokana na utofauti uliokuwepo

Mkuu Ndege, mimi nitasubiri hizo za Phillips ambazo hazihitaji miwani.
 
Mbebabox nilidhani uko nyumbani.

nimekusoma mkuu,
ila nimefarijika kitu kimoja,hizi 3D TV zinaonyesha normal TV BROADCAST,kwahio unaweza kununua hata mtu wa TZ,3D SERVICE ikiingia TZ we unakuwa tayari unayo
 
Mkuu Ndege, mimi nitasubiri hizo za Phillips ambazo hazihitaji miwani.

The first no-glasses-required set we actually managed to spot on the show floor is made by a Chinese company called TCL. A loop of animated 3D cartoons played over a honeycomb of 3D sets. The 42-inch TD-42F is already on the market in China, says TCL 3DTV Project Marketing Manager King (no last name). It sells for about $20,000. It works like this: there are actually eight lenses on the screen itself. Depending on where you stand in relation to the TV, you see only a few of those perspectives. This “lenticular” system is popular in all the 3D systems with no glasses that we saw. TCL’s TV set only displayed animation on the show floor. Looking at live-action would’ve been a better test of the set’s potential for eventual home use. The 3D aspect of the screen did not “pop” forward as much as, say, the flying fictional beasts in the showing of Avatar I saw last weekend. The up-in-frontness of it was much more subtle here.

Next, I checked out a prototype at Samsung’s booth. The 50-inch display has a very wide viewing angle, and I could see 3D cartoons no matter where I stood in front of it (again, no live action footage). The images on screen looked very similar to those on the TCL set. Personally, I don’t see a downside to a 3D world where bullets don’t look like they're two inches from your nose—those kinds of special effects are cheesy, anyway. I want 3D images to enhance my experience, not distract me with flashy flying objects that make me gasp.
From: http://www.tomsguide.com/us/3DTV-autostereoscopic-CES,review-1490.html

Take my advice and don’t wait around for 3D TV without glasses. A practical method for this is still eight to ten years off. Wearing glasses offers the viewer a lot of freedom and after a few minutes most people forget they’re even wearing them.
From: http://www.hollywoodtoday.net/2010/01/13/ces-2010-3d-television-is-finally-coming-home/

PELE: Ukiangalia kwenye internet, utakuta watu wengi wako njiani kutengeneza hizi TV ambazo huhitaji miwani. Naona hadi akina Mitsubishi nao wamo, sasa itakuwa akina Hitachi, Sony, JVC, Panasonic, LG, na wakubwa wote wa kutengeneza hizi Screen? Sasa hivi wote wako kazini. Ila ukweli ni kama jamaa wanavyosema, itachukua muda kufikia effect ya Imax.
 
The 42-inch TD-42F is already on the market in China, says TCL 3DTV Project Marketing Manager King (no last name). It sells for about $20,000.

kaka hapo red ni madness!!!may be if i earn $1,000,000 a year!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom