<br />
<br />
Mimi nahisi wewe unaongea kutokana na mapenz au ushabiki juu ya mtu flani. Kusema kweli mimi kwa upande wangu movie za kinaijeria sio kusema kali ni za kawaida kama zetu isipokuwa wao wametuzidi kidogo tu lakini huwez zcompare na movie za mbele au kihind. Wajua movies za wenzetu ukiangalia movie we mwenyewe unaona hii ni movie, ukiangalia tamthilia onaona hii kweli tamthilia, ukiangalia series waona kweli hii series sasa za kwetu hakuna tofauti kati ya movies, tamthilia yani radha ile ile kama ya maigizo utofauti wake na urefu wake tu.
We still have a lot to learn na kusema tutengeneze animarion movie may be za kawaida kawaida tu lakini as. Far as I know watengenezaji wa animation movie wanatumia softwares developed by their experts ili ku ful fill mahitaji yao si hizi softwares za hapa hapa tu. Halafu animation movies wenzetu wana invest wanatumia na muda pamoja na utaalam mwingi kuleta ktu cha uhakika. Sisi movie inaigizwa mwez mmoja then iko mtaani. Halafu sisi watu wanapenda kwenye movie watoke wakiwa na maisha ya kfahari sana saa nyngne hayaendani na nafasi alito igza.
Bado bado sana we still have along way to na ma actors na maproducer wetu wanabidi wawe na hali ya kusikiliza ushauri.
Mfano kanumba, kuna mwalimu wa sanaa wa udom yeye kasoma theater and perfomance u.k aliwahi mfuata kanumba kumpa ushauri ya kwamba kuna uigizaji flani anautumia kwenye movies zake ambao hapashwi kuutumia katika movie coz ni uigizaji wa stejini kwakuwa unapoigiza stejini na kwenye movie kuna utofauti. Kanumba akamtukana mbaya. Sasa wewe wategemea nini mtu kasoma anakueleza kitu anachojua we unamtukana.