binafsi sio mtu wa kukubali kitu kwakuwa kila mtu anakubali: lakinihao M23 unaowasema nchi nyingi zz Afrika pengine unazodhani zinauweza zilichemka, na rekodi yetu pale tunapokwenda tunafanikisha. Tunabebwa na rekodi.Ambayo nchi za afrika zimechemkajwtz kwa kutoa doze kwa wakorofi kama m23 hakika ni hodari!