32yrs old, looking for a job!

SAWEBOY

JF-Expert Member
Apr 6, 2011
241
173
Heshima kwenu wakuu wote wana JF, na pia poleni kwa majukumu ya kazi za kila siku.

Mimi ni kijana wa 32 years Old, nimehangaika kupata kazi bila mafanikio. Tafadhali naomba mwongozo wenu coz nimejaribu ku-apply job - vacancies sehemu kadhaaa bila mafanikio. Hivyo kwa yeyote yule mwenye mapenzi mema naomba msaada wa juu ya hilo tatizo langu.

Qualifications zangu:

1. Bachelor of Education (B.Ed Arts).
2. Master of Philosophy in Special Needs Education
3. Master of Science in Education (Educational Effectiveness and Instructional Design).

Wakuu wana Jf natanguliza shukrani zangu za dhati kwa yeyote yule atakayeguswa na tatizo langu na kunichangia mawazo au kunipa mwongozo.

Asanteni sana na kazi njema.

Saweboy
 
Nje ya kuajiriwa, unadhani kitu gani ungesaidiwa ungefanya bila kuwa umeajiriwa na kikawa na faida kwako na jamaa zako na huyo anayekufadhili? I mean, una project yoyote unawazia kichwani mwako ambayo ukiwezeshwa financially au hata kwa mawazo unaweza kujiendesha bila kuajiriwa?
 
Itakuwa unataka kulipwa mahela mengi?hata tutorial assistand umekosa?jiamini kwenye interview!tafuta wenzako anzisheni shule!
 
Mkuu nakushukuru kwa mchango wako katika hili tatizo langu.
Kiukweli nafikiria sana kuanzisha shule lakini kitu ambacho kinanikwamisha ni chanzo cha pesa/ source of fund. Katika hilo eneo nina uhakika nitaweza kulimudu vizuri sana.
 
Itakuwa unataka kulipwa mahela mengi?hata tutorial assistand umekosa?jiamini kwenye interview!tafuta wenzako anzisheni shule!

Asante sana mkuu wa mchango wako. lakini nilitaka tu kukufahamisha kuwa sio kuwa napenda mahela mengi coz anayepanga kiwango cha mshahara ni mwajiri husika na sio mwajiriwa. Kuhusu hizo nafasi ulizo sema nimelipokea wazo lako na nakuhaidi nikiona hizo nafasi nitajaribu ku-apply.

Otherwise, nakushukuru sana kwa mchango wako mkuu!.
 
Kiongozi mbona kazi zipo nyingi sana kwenye hiyo field uliyosoma..mashule ya private daily yanaanzishwa..kaza buti utapata tu.
 
Kiongozi ni kweli usemayo, lakini nimehangaika kiasi cha kutosha! Yaani nachapa lapa hadi nakata tamaa ndio maana nimeleta hili jambo kwenu waungwana ili mnipe muongozo! Nakushukuru kwa maoni yako mkuu!
 
Heshima kwenu wakuu wote wana JF, na pia poleni kwa majukumu ya kazi za kila siku.

Mimi ni kijana wa 32 years Old, nimehangaika kupata kazi bila mafanikio. Tafadhali naomba mwongozo wenu coz nimejaribu ku-apply job - vacancies sehemu kadhaaa bila mafanikio. Hivyo kwa yeyote yule mwenye mapenzi mema naomba msaada wa juu ya hilo tatizo langu.

Qualifications zangu:

1. Bachelor of Education (B.Ed Arts).
2. Master of Philosophy in Special Needs Education
3. Master of Science in Education (Educational Effectiveness and Instructional Design).

Wakuu wana Jf natanguliza shukrani zangu za dhati kwa yeyote yule atakayeguswa na tatizo langu na kunichangia mawazo au kunipa mwongozo.

Asanteni sana na kazi njema.

Saweboy

Mkuu umepiga shule vizuri sana,
Tatizo nililoliona nikuwa waajili wengi wa shule wanakuona uko Over-qualified, yaani position watakayokupa ni Head master/Mistress na naona hawako tayari kwa hilo kwani japo una Elimu hauna uzoefu,
Nadhani kitu cha muhimu kwako kwa sasa ni kujijusha na kuiweka Elimu pembeni kidogo ili uingie kwenye system, uwe hata mwalimu wa kawaida na uwezo wako wa kufundisha na kuelekeza ndio utakupa jina na post inayokufaaa
 
Working experince please

Nilikuwa nimefundisha chuo cha ualimu kwa muda miaka 2 kabla ya kuanza kusoma shahada za uzamili ( 3 years ) kama nilivyozibainisha hapo juu. Lakini baada ya kurudi na hizi Certificate, hadi sasa bado sijabahatika kupata kazi nyingine hata ya kufundisha shule ya private.
 
Mkuu umepiga shule vizuri sana,
Tatizo nililoliona nikuwa waajili wengi wa shule wanakuona uko Over-qualified, yaani position watakayokupa ni Head master/Mistress na naona hawako tayari kwa hilo kwani japo una Elimu hauna uzoefu,
Nadhani kitu cha muhimu kwako kwa sasa ni kujijusha na kuiweka Elimu pembeni kidogo ili uingie kwenye system, uwe hata mwalimu wa kawaida na uwezo wako wa kufundisha na kuelekeza ndio utakupa jina na post inayokufaaa

Asante mkuu kwa ushauri wako, na ninakuhaidi nitajaribu kuyafanyia kazi maoni uliyonipa huenda yakanipatia mafanikio ! Asante sana kaka kwa mchango wako wa mawazo!
 
Unaonekana hauna experience mzee ulinyoosha goti sana katika kusoma so vumilia kiasi.
 
Saweboy, hongera kuwa na qualification nzuri sana!! na upande nakushangaa kwa nini hujapata kazi. hebu anzisha consultancy uwe unawatengenezea watu curriculums na training materials.
nenda wizara ya afya Kurugenzi ya mafunzo ujaribu kuongea nao. wanakuwa na trainings kibao!! au hebu jaribu kuwafuata hakielimu na Policy Forum lazima watakutumia. ukienda pale nenda uonyeshe unashoweza kuwafanyia i.e. what values are you going to bring to their work (usiende kihasarahasara kuulizia kazi). na hakikiksha unaomba face to face discussion na mkurugenzi husika.

ukishindwa kufanikiwa huko. hebu ni-PM tuanze consultancy pamoja ya adult learning

binafsi nimekukubali kwa qualifications zako.
 
Hizi ndio porojo sasa, kama unaona jamaa ni 'potential' na mnaweza kuanzisha consultancy firm pamoja kwanini umwambie azunguke hukooo akishindwa ndio muanze, si muanze tu sasa moja kwa moja au hujiamini na wewe?
 
Heshima kwenu wakuu wote wana JF, na pia poleni kwa majukumu ya kazi za kila siku.

Mimi ni kijana wa 32 years Old, nimehangaika kupata kazi bila mafanikio. Tafadhali naomba mwongozo wenu coz nimejaribu ku-apply job - vacancies sehemu kadhaaa bila mafanikio. Hivyo kwa yeyote yule mwenye mapenzi mema naomba msaada wa juu ya hilo tatizo langu.

Qualifications zangu:

1. Bachelor of Education (B.Ed Arts).
2. Master of Philosophy in Special Needs Education
3. Master of Science in Education (Educational Effectiveness and Instructional Design).

Wakuu wana Jf natanguliza shukrani zangu za dhati kwa yeyote yule atakayeguswa na tatizo langu na kunichangia mawazo au kunipa mwongozo.

Asanteni sana na kazi njema.

Saweboy

Jitangaze na weka Qualification zako kwenye Zoomtanzania.com, au andika project paper safi then tafuta watu wenye pesa utajiajiri bila wasiwasi
 
Heshima kwenu wakuu wote wana JF, na pia poleni kwa majukumu ya kazi za kila siku.

Mimi ni kijana wa 32 years Old, nimehangaika kupata kazi bila mafanikio. Tafadhali naomba mwongozo wenu coz nimejaribu ku-apply job - vacancies sehemu kadhaaa bila mafanikio. Hivyo kwa yeyote yule mwenye mapenzi mema naomba msaada wa juu ya hilo tatizo langu.

Qualifications zangu:

1. Bachelor of Education (B.Ed Arts).
2. Master of Philosophy in Special Needs Education
3. Master of Science in Education (Educational Effectiveness and Instructional Design).

Wakuu wana Jf natanguliza shukrani zangu za dhati kwa yeyote yule atakayeguswa na tatizo langu na kunichangia mawazo au kunipa mwongozo.

Asanteni sana na kazi njema.

Saweboy

Kuna vyuo vingi vinahitaji watu wa namna yako hapa Tz. Kama mambo yamekuwa magumu tumia cheti cha digree ya kwanza, tafuta kazi kwenye private schls. Ukipata kazi ndogo itakusaidia kupata uzoefu na kuendelea kutafuta kazi unayodhani ni saizi yako.
 
Back
Top Bottom