Na sa hivi kabadilisha tenaMwanaume unatakiwa uwe na msimamo. Unachokifanya inatakiwa uwe umekifanyia upembuzi kwa kina. Kubadili ID mara kwa mara inaonekana hujiamini, hujikubali. Kuwa na msimamo bana.
Japo huo ni uamuzi wako ila ingependeza ubaki na msimamo wa ID uliyoanza nayo kama baadhi ya member kama Nyani Ngabu, Chamoto, Chakaza, Joka Kuu, jmushi, n.k waliojiunga tangu JF ianzishwe.
Dah mshua ubabe ume anza kitambo 😂 😂Naomba nikuulize swali.
Kwanini unatumia avatar ya kike wakati wewe ni kiumeni?
Je, hauoni kama unajiweka kwenye mazingira tatanishi ama kujiweka uonekane umejitoa sadaka?
Mazee ulikuwa ume piga munjwaa nini 😂Ikitokea mwanaume amekutumia ujumbe huko PM na akuisifia avatar yako, binasfi utajiskiaje na utamjibu nini...??