3 most difficult things to do in the world.

3 most difficult things to do in the world.

Haya Bwana Boflo umeniokota!!!!!!!!!
Je na hili Ungeliongezea............Liwe Number Four.

4. Huwezi Kwenda haja Kubwa bila Kukojoa(Haja Ndogo)

Atakayejaribu Atupe Majibu.........

aiseee
 
wakati nasoma, nkaijaribu ya 3, nlipomalizia post yako nimecheka na kujiona *****. U got me.
Hem jaribu hii: Mkono wako m1 jipige pige kichwani tartibu, then mwengine jisugue tumboni kwa mtindo wa cirle.
Then niambie umeweza kufanya hivo kwa dakika ngapi?
 
Em hesabu hadi 1-10,au hata ad 20,..kwa mtindo wa english na swahili.
mf; one...mbili...three nne...
af kwa haraka haraka,.
 
Em hesabu hadi 1-10,au hata ad 20,..kwa mtindo wa english na swahili.
mf; one...mbili...three nne...
af kwa haraka haraka,.

........hiyo nimepata kigugumizi
 
namba 2 ni possible uliza watu waliougua RED EYES
 
Back
Top Bottom