3 Idiots ya Aamir Khan

Choo kwa foleni halafu mtu anamiliki viosk vya Choo.
kwa kwelli upande wa pili wa shilingi kwa hizi nchi zilizoendelea hawatakagi kutuonyesha...
utasikia india imetoa msaada tanzania,lakini watu wake wanateseka smh..
 
No ni Prabhas and others Bollywood stars
Huyo sijaangalia movie zake za mjini zenye magari apart from baahubali. Ofcourse nayo uwongo mwingi.

Ajay naye mzushi sana halafu baba ake mzee devgan ndio action choreographer. Mimi movie akiwepo Ajay siangalii except Ishq
 
Nakuunga mkono mkuu,PK ni moja kati ya movie za kihindi zilizotulia sana kimaudhui.
Na "Mr PERFECTION" kama kawaida yake huwa hakosei.
Swali la kizushi mkuu....
Vipi unamuonaje yule mtoto wa kike mule ndani akiitwa "Anushka Sharma" a.k.a JAGAT!!?.
 
Yaani hakuna movie niipendayo na kuirudia mara kwa mara kama 3idiots. 3idiots naipenda sana
Hasa Dr. Virus , Rachonidas Chanchad, Raju Rastoji, Farhan Qweshi na Chatur Ramlinng wanafurahisha na fundisho ndani yake


Kama pale Dr. Viru anaongolea about Akole birds, that their life start in murder .....andelea na kubwaga yai chini that competition is over......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…