Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 98
Matatizo ya wananchi kama maji, kazi, chakula na afya hayapewi kipaumebele kutwa nzima kupiga makelele ufisadi ufisadi and you call that change?
By Political Analyst
Binti Maringo
If we really need change into our country and move forward ni kumchagua mtu ambaye hajatokea CCM wala hakuanzia enzi za TANU lakini bila ya hivyo ni kama mnampigia mbuzi gitaa tuu trust me on this...
Zimebakia siku 3 tuu hadi uchaguzi mkuu Tanzania...Na nimejaribu kukaa na kusoma post za watu wengi sana humu na naona wengi mnataka change In Tanzania which is good so do i...Lakini nani kasema Dr slaa ataleta any changes wakati Dr Slaa ni CCM..Yaani Majority mnamuona Dr Slaa kama mungu vile. Let me tell you something Dr Slaa katokea CCM na hata alianzia TANU. Kazaliwa mwana 1948 jamani huyu mzee atakuwa na mawazo gani mapya kweli ambayo CCM hawana? To me sioni kitu chochote zaidi naona Dr Slaa anachofanya ni kupayuka na kupasua mabomu kama Mrema alivyofanyaga miaka ilee which wont solve our problems. Matatizo ya wananchi kama maji, kazi, chakula na afya hayapewi kipaumebele kutwa nzima kupiga makelele ufisadi ufisadi and you call that change?
If we really need change into our country and move forward ni kumchagua mtu ambaye hajatokea CCM wala hakuanzia enzi za TANU lakini bila ya hivyo ni kama mnampigia mbuzi gitaa tuu trust me on this...Najua mtabisha sana and here is my Take CCM wana win tena this time na ushauri wa bure Chadema msije mkasema mmeonewa naona mnalewa na madaraka haraka sana.Ila najua kwenye viti vya ubinge mtapata vingi sana hilo wala msiwe na shaka.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI...Jakaya Kikwete oyeee!
I really can't wait for Friday! untill then...........

Kati ya wagombea wa Urais mwaka huu hebu tutajie mmoja mwenye hizo sifa. Kama hayupo, ina maana tuahirishe kufanya uchaguzi eti kwa sababu pendekezo la Binti Maringo halipo kwenye kinyang'anyiro?
hivi kwa nini neno CRAP wamelikataza humu JF?????
Siyo msipige kura kisa BM kasema this ila ninachosema ni kuwa muwe makini msiwe mnafanya vitu kwa sababu mna jazba tuu na CCM all yo need to do is think wisely!....Angalia na mifano ya nchi za karibu pia....Mfano mzuri Kenya...walidhani kutoa madarakani chama kilichotawala miaka mingi na kuleta chama cha upunzani basi chama cha upunzani kitaleta mafanikio zaidi...Lakini matokeo yake imekuwa vice versa...Kenya is worse than used to be......Nachosema siyo msipige kura kwa mnayemtaka nachosema ni kwamba Dr Slaa hataleta changes yeyote ambayo CCM haijafanya sasan sana Nchi itakuwa worse than mnavyoiona sasa hivi...Dr Slaa ni CCM na ni TANU....that's my take....
Niliongea a while ago about January Makamba watu wakaja juu na kumkashfu Jm na kunitupia maneno makali sana kisa why namfikiriia JM kuwa new generation leader na matokeo yake huyo anakuja taratibu...And this time nitawaambia kuwa choice yenu ya Dr Slaa ni mbovu kabisa...ila all i suggest ni kwamba you all need to work hard for 2015 and choose wisely!...Ila this time bado CCM wataongoza tena.
Zimebakia siku 3 tuu hadi uchaguzi mkuu Tanzania...Na nimejaribu kukaa na kusoma post za watu wengi sana humu na naona wengi mnataka change In Tanzania which is good so do i...Lakini nani kasema Dr slaa ataleta any changes wakati Dr Slaa ni CCM..Yaani Majority mnamuona Dr Slaa kama mungu vile. Let me tell you something Dr Slaa katokea CCM na hata alianzia TANU. Kazaliwa mwana 1948 jamani huyu mzee atakuwa na mawazo gani mapya kweli ambayo CCM hawana? To me sioni kitu chochote zaidi naona Dr Slaa anachofanya ni kupayuka na kupasua mabomu kama Mrema alivyofanyaga miaka ilee which wont solve our problems. Matatizo ya wananchi kama maji, kazi, chakula na afya hayapewi kipaumebele kutwa nzima kupiga makelele ufisadi ufisadi and you call that change?
If we really need change into our country and move forward ni kumchagua mtu ambaye hajatokea CCM wala hakuanzia enzi za TANU lakini bila ya hivyo ni kama mnampigia mbuzi gitaa tuu trust me on this...Najua mtabisha sana and here is my Take CCM wana win tena this time na ushauri wa bure Chadema msije mkasema mmeonewa naona mnalewa na madaraka haraka sana.Ila najua kwenye viti vya ubinge mtapata vingi sana hilo wala msiwe na shaka.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI...Jakaya Kikwete oyeee!
I really can't wait for Friday! untill then...........
By Political Analyst
Binti Maringo
BM wakati nimeanza kuisoma analysis yako ilianza kuniingia akilini. Ghafla ukanichanganya na hiyo conclusion yako. Mwanzoni unataja mabadiliko na mwishoni unamalizia KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI. Sasa mabadiliko na kidumu wapi na wapi. Ukweli Watanzania wengi saana tumechoshwa na hali ya kimaisha ya watu na tunapoelekea yaelekea ni pabaya zaidi km CCM itaendelea kuongoza kwa miaka mingi ijayo unless ifanyiwe overhaul.Zimebakia siku 3 tuu hadi uchaguzi mkuu Tanzania...Na nimejaribu kukaa na kusoma post za watu wengi sana humu na naona wengi mnataka change In Tanzania which is good so do i...Lakini nani kasema Dr slaa ataleta any changes wakati Dr Slaa ni CCM..Yaani Majority mnamuona Dr Slaa kama mungu vile. Let me tell you something Dr Slaa katokea CCM na hata alianzia TANU. Kazaliwa mwana 1948 jamani huyu mzee atakuwa na mawazo gani mapya kweli ambayo CCM hawana? To me sioni kitu chochote zaidi naona Dr Slaa anachofanya ni kupayuka na kupasua mabomu kama Mrema alivyofanyaga miaka ilee which wont solve our problems. Matatizo ya wananchi kama maji, kazi, chakula na afya hayapewi kipaumebele kutwa nzima kupiga makelele ufisadi ufisadi and you call that change?