3 Days left to Election by Political analyst BM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

3 Days left to Election by Political analyst BM

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Binti Maringo, Oct 26, 2010.

 1. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Zimebakia siku 3 tuu hadi uchaguzi mkuu Tanzania...Na nimejaribu kukaa na kusoma post za watu wengi sana humu na naona wengi mnataka change In Tanzania which is good so do i...Lakini nani kasema Dr slaa ataleta any changes wakati Dr Slaa ni CCM..Yaani Majority mnamuona Dr Slaa kama mungu vile. Let me tell you something Dr Slaa katokea CCM na hata alianzia TANU. Kazaliwa mwana 1948 jamani huyu mzee atakuwa na mawazo gani mapya kweli ambayo CCM hawana? To me sioni kitu chochote zaidi naona Dr Slaa anachofanya ni kupayuka na kupasua mabomu kama Mrema alivyofanyaga miaka ilee which wont solve our problems. Matatizo ya wananchi kama maji, kazi, chakula na afya hayapewi kipaumebele kutwa nzima kupiga makelele ufisadi ufisadi and you call that change?

  If we really need change into our country and move forward ni kumchagua mtu ambaye hajatokea CCM wala hakuanzia enzi za TANU lakini bila ya hivyo ni kama mnampigia mbuzi gitaa tuu trust me on this...Najua mtabisha sana and here is my Take CCM wana win tena this time na ushauri wa bure Chadema msije mkasema mmeonewa naona mnalewa na madaraka haraka sana.Ila najua kwenye viti vya ubinge mtapata vingi sana hilo wala msiwe na shaka.

  KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI...Jakaya Kikwete oyeee!

  I really can't wait for Friday! untill then...........

  By Political Analyst
  Binti Maringo
   
 2. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Nasikia Mashimo Manne ya Choo yamegahrimu milioni 700 naona haya ndiyo maendeleo na vipaumbele unavyovizungumzia
   
 3. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2010
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  `hapo ni kumsubiri zito 2015 maana yeye hana historia ya chama kingine zaidi ya CHADAMU
   
 4. T

  The King JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2010
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndo wale wale! wanadai wamesoma lakini wanashindwa kuona kama thithiem imeshindwa kuiongoza nchi na bado wanathubutu kusema kidumu chama.......kazi kweli kweli!
   
 5. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2010
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kweli duniani kuna watu mbalimbali
   
 6. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #6
  Oct 26, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 159,018
  Likes Received: 421,163
  Trophy Points: 280
  Hapo ndipo ulipochemsha kabisa na huna nguvu ya hoja hata kidogo...nilifikiria ya kuwa kutoka ccm kama ni nongwa basi ungelielekeza nguvu zako kwa wale ambao hawana harufu ya CCM lakini siyo kuikumbatia CCM hiyo hiyo ambayo unasema ni chafu.................Pole sana. Nigependa kujua shule ulizosoma naona ulitoka kapa...............................
   
 7. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #7
  Oct 26, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  LOL!....I see you all in denial at this point...shauri yenu but just keep in Mind "I told you so"..:doh:...
   
 8. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #8
  Oct 26, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Kati ya wagombea wa Urais mwaka huu hebu tutajie mmoja mwenye hizo sifa. Kama hayupo, ina maana tuahirishe kufanya uchaguzi eti kwa sababu pendekezo la Binti Maringo halipo kwenye kinyang'anyiro?
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  Oct 26, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,527
  Likes Received: 19,949
  Trophy Points: 280
  hivi kwa nini neno CRAP wamelikataza humu JF?????
   
 10. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #10
  Oct 26, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Siyo msipige kura kisa BM kasema this ila ninachosema ni kuwa muwe makini msiwe mnafanya vitu kwa sababu mna jazba tuu na CCM all yo need to do is think wisely!....Angalia na mifano ya nchi za karibu pia....Mfano mzuri Kenya...walidhani kutoa madarakani chama kilichotawala miaka mingi na kuleta chama cha upunzani basi chama cha upunzani kitaleta mafanikio zaidi...Lakini matokeo yake imekuwa vice versa...Kenya is worse than used to be......Nachosema siyo msipige kura kwa mnayemtaka nachosema ni kwamba Dr Slaa hataleta changes yeyote ambayo CCM haijafanya sasan sana Nchi itakuwa worse than mnavyoiona sasa hivi...Dr Slaa ni CCM na ni TANU....that's my take....

  Niliongea a while ago about January Makamba watu wakaja juu na kumkashfu Jm na kunitupia maneno makali sana kisa why namfikiriia JM kuwa new generation leader na matokeo yake huyo anakuja taratibu...And this time nitawaambia kuwa choice yenu ya Dr Slaa ni mbovu kabisa...ila all i suggest ni kwamba you all need to work hard for 2015 and choose wisely!...Ila this time bado CCM wataongoza tena.
   
 11. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #11
  Oct 26, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  This is when i Love JF...."Hasira Hasara"....hahahahahahahah!...guess what wakati ww unatafuta word crap mimi nacheka sana while sipping my moet!....

  cheerz...smile and God loves you!....
   
 12. Joss

  Joss JF-Expert Member

  #12
  Oct 26, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 729
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Unataka kuniambia kuwa watu wote waliokuwa TANU na hatimaye CCM ni wachafu?Unataka kuniambia kuwa hukubaliani na uongozi wa Mwl.Nyerere enzi za TANU na hata wakati wa CCM?Kama ni kweli ni kwanini unashabikia ccm na JK,mbona unajipinga kuwa hakuna mtu kutoka ccm ambaye ataleta mabadiliko wakati bado unashabikia ccm,au hupendi mabadiliko?

  Inawezekana hujui vizuri historia ya ccm,kwanini ni chama ambacho kimekuwa kikiaminiwa na watu kwa muda mrefu mpaka hivi karibuni kiliporuhusu wafanyabiashara kukiteka.TANU na baadae CCM kilikuwa ni chama kimoja cha siasa mpaka hapo 1992,kwa hiyo wanasiasa walio waadilifu walikuwepo ccm maana kilikuwa ndo chama pekee,kama chama kilipoteza muelekeo unategemea wanachama waadilifu wabakie tu huko?
  Poor thinking.
   
 13. M

  Mutu JF-Expert Member

  #13
  Oct 26, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  crap at its best
  idiota numbre uno
   
 14. Joss

  Joss JF-Expert Member

  #14
  Oct 26, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 729
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Halafu political analyst huwa hawashabikii chama,wewe ni mpiga propaganda za ccm.
   
 15. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #15
  Oct 26, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Ok, unaonaje tukiliweka hili hivi.. Kwamba Serikali ya CCM chini ya mwenyekiti wake (Dkt?) JK imeonesha kushindwa kuiongoza nchi na matokeo yake tunajionea nchi ikipelekwa shimoni, tufunge macho kuogopa kumweka mtu mwingne ili tuokoe jahazi eti kisa hatujui itakuwaje?

  Halafu, kuhusu Kenya uliyoitolea mfano, huoni kuwa viongozi wake wamekuwa makini baada ya wananchi kuonesha kuchoshwa na ubabaishaji wa viongozi wao na wakadhamiria kuleta mabadiliko ambayo hatima yake tunaiona leo? Unaona jinsi viongozi wanavyowajibishwa kwa uzembe pindi sheria inapotakiwa kuchukua mkondo wake huko Kenya?

  Tukirudi nyumbani; JK mwenyewe ameonesha kuwa rais asiye na msimamo kuliko rais yeyote kwenye historia ya nchi (rejea hotoba zake khs kura za wafanyakazi na baadaye kukana kauli yake) Pia inaonesha jamaa ni mwoga (kwa nini hataki mdahalo???) isitoshe ni rais ambaye hajui chochote kuhusu nchi anayoiongoza (alisema hajui kwa nini Tz ni masikini) Ni rais mwoga (nimerudia tena) ameshindwa (serikali yake imeshindwa) kuwawajibisha watuhumiwa wa ufisadi au angalau hata kuwatetea pindi walipotuhumiwa ili wasijiuzulu (anawaogopa mafisadi wakati huo huo anawaogopa wanaopiga vita ufisadi) kwa mantiki hiyo ni rais asiye na msimamo.

  Ni mbinafsi (kwa kulidhiirisha hilo tunaona jinsi alivyoubinafsiha urais wake kwa familia yake na watu wake wa karibu). ni rais asiye na mapenzi kwake binafsi na kwa wananchi wake (Rejea kauli yake alivyoanguka Mwanza kuwa aliupuuza ushauri aliopewa na Daktari wake kuwa apumzike kwa kuwa amechoka, akagoma.. matokeo yake unayajua mwenyewe) hapo hapo ongezea kuwa ana dharau!!!.....

  Orodha ni ndefu...............................................................

  2015 ikifika nitafute nitakupa msimamo wangu kwa wakati huo.

  Ubarikiwe sana.
   
 16. c

  chanai JF-Expert Member

  #16
  Oct 26, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli akili ni nywere na kila mtu ana zake
   
 17. coby

  coby JF-Expert Member

  #17
  Oct 26, 2010
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 342
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hivi mmewahi kufikiria Dunia ingekuwaje wasingekuwepo wapuuzi, wapumbavu, wajinga, wanafiki na mambumbumbu?
   
 18. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #18
  Oct 26, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,745
  Likes Received: 3,182
  Trophy Points: 280
  Binti Maringa Maringo watever your name is!!! You are the one who is in a denial big time. When is the last time you visited your village? Mafisadi wakirudisha pesa basi kutakuwa na maji safi kwa kila mtanzania, nyumba bora kipi hujaelewa hapo??
   
 19. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #19
  Oct 27, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  BM wakati nimeanza kuisoma analysis yako ilianza kuniingia akilini. Ghafla ukanichanganya na hiyo conclusion yako. Mwanzoni unataja mabadiliko na mwishoni unamalizia KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI. Sasa mabadiliko na kidumu wapi na wapi. Ukweli Watanzania wengi saana tumechoshwa na hali ya kimaisha ya watu na tunapoelekea yaelekea ni pabaya zaidi km CCM itaendelea kuongoza kwa miaka mingi ijayo unless ifanyiwe overhaul.
  Kuhusu CHADEMA, kiukweli hawa jamaa wamejitahidi saana kupiga kampeni. Kwa sasa hivi matunda kwao ni kuwa chama kimefahamika zaidi kwa wananchi wanahitaji hasa kujipanga taswira waliyojijengea waendelee kuwa nayo kwa muda mrefu. Pia wanahitaji kujipanga kimuundo. Mf CHAMA makini hakiwezi kuongozwa na Mbowe ambaye ikitokea vurugu anahamasisha wanachama wake wakapambane na waliowakosea na kusahau kabisa uwepo wa mfumo wa sheria na haki za raia. Lakini pia ukiangalia hata uteuzi wa mgombea mwenza hayamkini CHAMA kinahitaji kujipanga.
  Kuhusu matokeo ya URAIS naamini wengi wanafaham nani atashinda hapo sina hoja.
   
 20. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #20
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Wacha propaganda za kupotosha; waanzilishi wote wa upinzani akina Marando, Fundikira, Mtei, Kambona, Makaidi na wengine wote walikuwa wana CCM kwa mujibu wa sheria ya chama kimoja iliyokuwapo.
   
Loading...