Elections 2010 3 Days left to Election by Political analyst BM

Kwanza rudi shule uelewe maana ya kuwa analyst, then weka mawazo yako upya au vinginevyo futa neno analyst na weka politician. Halafu jielimishe kwanza, vyama vya siasa vilianza lini na before kulikuwapo na nini?
 
Zimebakia siku 3 tuu hadi uchaguzi mkuu Tanzania...Na nimejaribu kukaa na kusoma post za watu wengi sana humu na naona wengi mnataka change In Tanzania which is good so do i...Lakini nani kasema Dr slaa ataleta any changes wakati Dr Slaa ni CCM..Yaani Majority mnamuona Dr Slaa kama mungu vile. Let me tell you something Dr Slaa katokea CCM na hata alianzia TANU. Kazaliwa mwana 1948 jamani huyu mzee atakuwa na mawazo gani mapya kweli ambayo CCM hawana? To me sioni kitu chochote zaidi naona Dr Slaa anachofanya ni kupayuka na kupasua mabomu kama Mrema alivyofanyaga miaka ilee which wont solve our problems. Matatizo ya wananchi kama maji, kazi, chakula na afya hayapewi kipaumebele kutwa nzima kupiga makelele ufisadi ufisadi and you call that change?

If we really need change into our country and move forward ni kumchagua mtu ambaye hajatokea CCM wala hakuanzia enzi za TANU lakini bila ya hivyo ni kama mnampigia mbuzi gitaa tuu trust me on this...Najua mtabisha sana and here is my Take CCM wana win tena this time na ushauri wa bure Chadema msije mkasema mmeonewa naona mnalewa na madaraka haraka sana.Ila najua kwenye viti vya ubinge mtapata vingi sana hilo wala msiwe na shaka.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI...Jakaya Kikwete oyeee!

I really can't wait for Friday! untill then...........

By Political Analyst
Binti Maringo

Nikisoma post yako Binti Maringo, napata picha kabisa kuwa wewe ni mojawapo ya wale ambao wanatetea ufisadi, sio kwa sababu wanaupenda, bali kwa sababu wanaganga njaa. Sorry.
 
Usifikiri watu wanichukia ccm kama chama..,
Wanachukia mfumo wa kujali walanchi wengi wakiwa na uraia mara mbili mbili...
Kura wapige wananchi wa malampaka,kiziba,tandahimba,rorya halafu walanchi waje wafaidi matunda..hilo ndo tatizo..
Solution iliyopo karibu ni kukitoa ccm mengine yatafuatia...
Inawezekana nawe ni mmoja wa wanaofaidika na huu mfumo ila wakumbuke mamilioni wanaoshindwa kupata angalau chai...
 
:israel::israel:Ukweli huna hoja ya msingi nafikiri ungefikiria kwanza kabla ya kuandika hiyo hoja ya kiherehere,hiki chama cha kidumu kimeshindwa sera zake zina nishangaza sana, kwa kweli tuwe wazi ,maendeleo ya nchi hayaletwi na chama kuna uwezekanano Tanzania ikawa na vyama vingi sana endapo hivyo vyama vina watu au viongozi mbumbumbu ni sifuri bali maendeleo huletwa na mtu makini asiye kurupuka,sisemi kwa unafiki hali wananchi iko hoi kila kona kwa kweli kama unataka maendeleo mdogo wangu binti malingo chagua DK sLAA.
 
Zimebakia siku 3 tuu hadi uchaguzi mkuu Tanzania...Na nimejaribu kukaa na kusoma post za watu wengi sana humu na naona wengi mnataka change In Tanzania which is good so do i...Lakini nani kasema Dr slaa ataleta any changes wakati Dr Slaa ni CCM..Yaani Majority mnamuona Dr Slaa kama mungu vile. Let me tell you something Dr Slaa katokea CCM na hata alianzia TANU. Kazaliwa mwana 1948 jamani huyu mzee atakuwa na mawazo gani mapya kweli ambayo CCM hawana? To me sioni kitu chochote zaidi naona Dr Slaa anachofanya ni kupayuka na kupasua mabomu kama Mrema alivyofanyaga miaka ilee which wont solve our problems. Matatizo ya wananchi kama maji, kazi, chakula na afya hayapewi kipaumebele kutwa nzima kupiga makelele ufisadi ufisadi and you call that change?

If we really need change into our country and move forward ni kumchagua mtu ambaye hajatokea CCM wala hakuanzia enzi za TANU lakini bila ya hivyo ni kama mnampigia mbuzi gitaa tuu trust me on this...Najua mtabisha sana and here is my Take CCM wana win tena this time na ushauri wa bure Chadema msije mkasema mmeonewa naona mnalewa na madaraka haraka sana.Ila najua kwenye viti vya ubinge mtapata vingi sana hilo wala msiwe na shaka.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI...Jakaya Kikwete oyeee!

I really can't wait for Friday! untill then...........

By Political Analyst
Binti Maringo

Bango_mwembeyanga.jpg
 
:hippie:Jamani haka ka binti kametumwa kaoneeni huruma. Pengine KANACHAKACHULIWA NA nani hiii.... eeh. baada ya kufikishwa sehemu fulani kakakurupuka na hiyo hoja kaacheni msibishane nako. maana dilution ilikuwa kali bado kana kiwewe.
 
Wewe Binti M huwezi kutubadilisha kabisa na upeo wako finyu. Sisi tumeshaamua ninani tutampa kura na KAMWE hatuwezi kubadilka siku tatu/nne kabla ya uchaguzi. Labda kawaambie hii historia kule vijijini lakini si hapa kwa great thinkers
 
kwaio km slaa mpayukaji inamaana tusifanye mabadiriko? ht km ni mpayukaji tunataka tumpe tumpe tuone na yy km atatuzingua basi tutabadirisha tena tutaendelea lini kwa kung'ang'ania chama kimoja miaka 50 sasa kila siku ni longolongo? mi namtaka huyo huyo mpayukaji
 
Siyo msipige kura kisa BM kasema this ila ninachosema ni kuwa muwe makini msiwe mnafanya vitu kwa sababu mna jazba tuu na CCM all yo need to do is think wisely!....Angalia na mifano ya nchi za karibu pia....Mfano mzuri Kenya...walidhani kutoa madarakani chama kilichotawala miaka mingi na kuleta chama cha upunzani basi chama cha upunzani kitaleta mafanikio zaidi...Lakini matokeo yake imekuwa vice versa...Kenya is worse than used to be......Nachosema siyo msipige kura kwa mnayemtaka nachosema ni kwamba Dr Slaa hataleta changes yeyote ambayo CCM haijafanya sasan sana Nchi itakuwa worse than mnavyoiona sasa hivi...Dr Slaa ni CCM na ni TANU....that's my take....

Niliongea a while ago about January Makamba watu wakaja juu na kumkashfu Jm na kunitupia maneno makali sana kisa why namfikiriia JM kuwa new generation leader na matokeo yake huyo anakuja taratibu...And this time nitawaambia kuwa choice yenu ya Dr Slaa ni mbovu kabisa...ila all i suggest ni kwamba you all need to work hard for 2015 and choose wisely!...Ila this time bado CCM wataongoza tena.

Huo ni Ukweli ingawaje unatuuma na hatutaki kuelezwa. Bila shaka tutakumbuka ukweli huu wiki ijayo wakati tunamwaapisha JK.
Chadema inatakiwa kusafishwa na Mhe Zito Kabwe ili kiwe chama makini kisichokumbatia ukabila, ukaskazini, u-ndugu-ndugu na uchafu mwingine. Kinatakiwa kifumuliwe na kusukwa upya na mtu mwenye uchungu na nchi hii (Zito) kabla hakijafikiria kuingia Ikulu. Kwa sasa kinaonekana kama kampuni au klabu ya Wachagga, wenye hisa nyingi ndio wanaoteuliwa uongozi. Forget about Ikulu at this level. I am sure Zito ataniunga mkono.
 
Kishongo ni kweli kabisa ukweli huwa unauma sana na watu kuanza kuleta maneno ya kashfa badala ya kujibu nilichoandika....ila ukweli unabakia pale pale na ndiyo maana hatuna maendeleo kwa sababu huwa hatupendi kukubali kabisa...Watu wangekuwa makini tungefika mbali sana ila blah blah blah ni nyingi sana....

Mimi sijamtetea mtu yeyote na sifungamani na chama chochote hapa ila nimetoa wazo kama unataka kulitumia its well and good lakini kashfa za nini?...
Ila kwa mtazamo wangu kama ndiyo watu mko hivi HATUTAFIKA...Watanzania acheni longolongo tuu jamani eeh!...
 
1. ''Some have argued we should wait, and that's an option. In my view, it's the riskiest of all options, because the longer we wait, the stronger and bolder Saddam Hussein will become''. GW Bush

2. When quiting is no longer an option, you're half way there.......

What do you say BM?

I say we should wait mpaka hiyo Jumapili...si wanakwambia mshindi kipenga cha mwisho right?....Lafu sijui watajificha wapi?.....Sisi watanzania tunasifika sana kwa Kashfa na longolongo lakini siyo kwa maendeleo wee wawekee bao wacheze na kikombe cha kahawa aah maisha wameyapatia ukiwaambia ukweli watakuita majina yote unayojua wewe....

HAHAHA Sasa wanaaanza kuchukia cheo changu hahahaha interesting kwa kweli....

xoxo BM!
 
BM huo utafiti wako umeufanyia wapi? ati Dr Slaa hataleta any change! I might agree with you; but, how about just something new, just for a change. Tumechoka to tell the truth, sijui aliyekutuma nani lakini hata Nyerere mwenyewe alishawahi kusema upinza wa dhati utatoka ndani ya CCM. This one looks legite to me
 
Back
Top Bottom