3-d movies

JAYJAY

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2008
Messages
2,720
Likes
993
Points
280

JAYJAY

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2008
2,720 993 280
naomba kuuliza wadau wa jf, nimesikia kuhusu 3-d movies hivi hizi zinakuwaje yaani zinaonesha vipi na tv zake zipo vipi? nimeona picha za jamaa kwenye theatres wakiwa wamevaa miwani fulani nayo nasikia zina simulate hiyo effect, hizo nazo ziko vipi?
 
Mtoto wa Kishua

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2009
Messages
827
Likes
56
Points
45

Mtoto wa Kishua

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2009
827 56 45

Kitaalam sijui nikuelezeje, ina bidi u ekspiriensi ndio uweze elewa ni feeling gani unaipata ukiwa ndani ya IMAX cinema ambayo ni 3D, kama uko Ulaay or Amrica na kushauri uende kwnye IMAX cinema yeyete ambayo ina oneysha movie ambayo ni 3-D.uone raha yake.
Kama hauko katika nchi zilizo endelea basi naomba google Imax 3D utapata maelezo mazuri, ila kifupi ni kwamba , unapo kua ndani ya 3D movie ni lazima uvae miwani ili iweze sahihisha image unayo ona, ili uwezepata picha katika 3D , yani unakua uko kama ndani ya movie kila kitu unacho kiona kwnye screen ni kam una weza kukishika mbele yako .

Wamesha toa Home TV za 3D ila bado hawajaanza au wataanz ku broadcast show za 3D, ila pia unahitaji Miwani .
 
mfianchi

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2009
Messages
8,470
Likes
2,034
Points
280

mfianchi

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2009
8,470 2,034 280
Eh miwani tena je ni miwani aina gani ya kupunguza mwanga,kusomea au kama hii wauzayo wamachinga,du kwa wapenzi wa BM sijui hisia zitakuwaje kwani eti nawe ni kama upo mumo kwa mumo
 
Sikonge

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2008
Messages
11,537
Likes
599
Points
280

Sikonge

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2008
11,537 599 280
Film za 3D ukiziangalia ni kama vile wamepiga picha katika layer nyingi na kuziweka pamoja. Ukivaa miwani, zile layer zinatenganishwa na kuna layer zinakuwa zimesogezwa karibu na muangaliaji. Usipovaa miwani unaziona kabisa kama picha zimelaliana.

Ukiangalia kwenye screen, unaona kama vile vitu vinaanzia kwenye screen na kwenda nyuma yake (vile vilivyo mbali). Kwenye 3D, picha zinakuwa pia zimesogezwa pia kwa mbele, kwenye screen na za nyuma.

Nakubaliana na mkuu hapo juu kuwa nenda mwenyewe kwenye majumba ya cinema ili uweze kushuhudia hiyo hali vinginevyo hutaweza kushuhudia hii hali. Kama uko Tanzania basi kuwa na subira maana muda si mrefu, TV au screen za 3D zitaingia hadi huko ingawa zinaweza kuwa ni zile za kutumia miwani.

Ila kumbuka kuwa kama una matatizo ya macho, unaweza hii kitu usiione maana inakuwa kama unadanganya macho ya kawaida na kuna wengine ambao wanavaa miwani na kwa maana hiyo hawana ya kawaida, huwa wanalalamika macho kuuma au kutokuona. Nafikiri inabidi avae miwani yake na hiyo PORALISED. Ndiyo maana miwani PORALISED ukiangalia kwenye saa zile za kukonyeza, huoni kitu?? (sina uhakika ila kuna kitu hakiko sawa).

Miaka hiyoo nilibahatika kwenda kuangalia kwenye Imax na kwenye film kulikuwa na lijimjusi linaogelea majini. Mkia wake ulikuwa kama vile unapita mbele yangu. Nilitamani ninyenyue mkono na nimguse ingawa ukweli ni kuwa alikuwa mbaali saana (screen). Jaribu kuangalia hizi picha, na angalia kwenye Youtube utaona monitor za 3D na miwani yake.

3D_TV3.png

http://arstechnica.com/gadgets/news/2010/01/3d-tv-is-coming-ready-or-not.ars

Sijui kama hii kitu itakusaidia sana ila ukweli ni kuwa unapoangalia kama mpira wa miguu, unakuwa kama vile na wewe unacheza. Nafikiri unaweza hata ukaruka upige tick tack.......
Hii kitu unaweza kuiona kama unaangalia mpira uliopigwa na kuilenga camera. Unaruka au kufumba macho kwani unapata feeling kwamba unakuja kukupiga machoni.
 
Hapo umeeleza chote kabisa , ila bado kwa mtu ambaye hajawahi ona inabidi aende cinema ili aweze elewa kw auhalizia, maana ni experience ya aina yake ku watch a 3-D movie kwenye cinema .

Wengi hawajaelewa bado tofauti ya 3-D na HD wengi wanadhani 3-D ni picha kuwa more clear than HD, hapo na dhani watakua kidogo wamepata mwanga.
 
Forum statistics

Threads 1,191,696
Members 451,730
Posts 27,717,962