JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 7,510
- 7,540
naomba kuuliza wadau wa jf, nimesikia kuhusu 3-d movies hivi hizi zinakuwaje yaani zinaonesha vipi na tv zake zipo vipi? nimeona picha za jamaa kwenye theatres wakiwa wamevaa miwani fulani nayo nasikia zina simulate hiyo effect, hizo nazo ziko vipi?