Mkuu,Ina kona nyingi kama inavyoonekana, hivyo hata kama ni kubwa bado kwa hizi kona zake nafasi ipo. Kiwanja cha 20x20 nyumba inakaa vizuri kabisa na space ya kutosha nje. Kwenye 20x20 ukijenga nyumba yenye 150m² hadi 180m² sio mbaya... unakuwa na 220m² free space, nafasi kubwa tu.
Choo cha public mbona wageni watakuwa wanachungulia vyumbani?Kabla haijawekwa kwa AutoCad, toa changamoto yako hapa, nini kimekosewa, nini kipo sawa...wapi parekebishwe..[emoji116]View attachment 2240747
Kingine,Ina kona nyingi kama inavyoonekana, hivyo hata kama ni kubwa bado kwa hizi kona zake nafasi ipo. Kiwanja cha 20x20 nyumba inakaa vizuri kabisa na space ya kutosha nje. Kwenye 20x20 ukijenga nyumba yenye 150m² hadi 180m² sio mbaya... unakuwa na 220m² free space, nafasi kubwa tu.
Naam,Ukiweka vipimo vyote tutapata picha kamili.
Nzur Sana Hii,Sio vizuri sana wapitaji wakienda washroom wafanye observation ya nyumba na vyumba vyako. Anakuja hadi anaondoka hajui vyumba vikoje, milango imegeukaje nk.
Kama ni Dar, angalau room iwe na madirisha mawili na kuendelea kutokana na joto na diririsha liwe na 3m na kendelea, chumba cha kulala master bedroom kiwe na 4x3m na kuendelea kusudi ya hewa na kabati la nguo,
Master bedroom ianzie 4x4m iwe na sehem mtu anaweza kukaa kama akija mgeni kumsalimia mama aliejifungua, sehem ndogo ya viti viwili
Jiko liwe kubwa ndio sehem ya mwanamke kujidai, nadhani store haina umuhimu sana maana makabati ya jikoni ni store tosha,
Sebule ambayo ndio uwanja wa mwanaume uwe mkubwa angalau 5x4.
Hii ina 14m×15m, kwa nini isikae kwenye kiwanja cha 20x20 mkuu?Mkuu,
Kiwanja cha 20 kwa 20 kwa vipimo vya vyumba vyako vya futi 12 haikai Hii nyumba mkuu.
Vinginevyo labda ufanye modification za mapana na marefu ya nyumba yako mkuu.
Ndo maana nikisisitiza uweke vipimo clear kabisa ili tukushauri vizur.
Mkuu acha masihara Basi,Kama ni Dar, angalau room iwe na madirisha mawili na kuendelea kutokana na joto na diririsha liwe na 3m na kendelea, chumba cha kulala master bedroom kiwe na 4x3m na kuendelea kusudi ya hewa na kabati la nguo,
Master bedroom ianzie 4x4m iwe na sehem mtu anaweza kukaa kama akija mgeni kumsalimia mama aliejifungua, sehem ndogo ya viti viwili
Jiko liwe kubwa ndio sehem ya mwanamke kujidai, nadhani store haina umuhimu sana maana makabati ya jikoni ni store tosha,
Sebule ambayo ndio uwanja wa mwanaume uwe mkubwa angalau 5x4.
Nmeona jamaa Kama kaweka mlango wa kioo tinted kutenganisha na portion ya vyumbaniChoo cha public mbona wageni watakuwa wanachungulia vyumbani?
Master ume-design vibaya.Kabla haijawekwa kwa AutoCad, toa changamoto yako hapa, nini kimekosewa, nini kipo sawa...wapi parekebishwe..[emoji116]View attachment 2240747
Hebu weka vipimo twende sawa mkuu,Hii ina 14m×15m, kwa nini isikae kwenye kiwanja cha 20x20 mkuu?
Ninaposema 20x20 namaanisha mita, sio miguu.
Upo sahihi, Ila zisiwe zina long distance, kwa mtazamo wangu lakiniKuna watu wanapenda nyumba zenye nafasi mkuu, nyumba ikikosa korido kwangu binafsi inaboa sana. Korido inakula nafasi lakini inafanya nyumba ipendeze.
Aongeze chumba Vip watu wake wa karibu wakija kumtembelea kwa mfano wazazi watalala lounge au chumba kipi,mfano kajaliwa watoto jinsi tofauti me na keMchoraji alimaanisha sitting room mkuu, haya mpe changamoto basi!