2pate wapi nguvu za wababa?

Babu mchumi

Member
Jul 5, 2011
62
11
Habari zenu tha great thinkers!
Hivi ni aina gani ya chakula au mambo gani yanaweza kusaidia kuongeza nguvu za kiume?coz hili ni tatizo la wengi na linavunja ndoa nyingi,naomba majibu kwa faida ya wengi!
 
1. Acha POMBE - at least reverse the trend step by step
2. Acha mafuta ya KORIE & Like - Tumia Alizeti
3. Punguza stress - ni ngumu kidogo kwa mazingira ya sasa
4. Fanya mazoezi - hata kutembea tu
5. Jiepushe na moshi wa magari, hasa kwenye foleni za Dar
6. Kunywa maji ya kutosha, asubuhi na dk chache kabla ya kulala.
7. Kula matikiti maji - hasa mbegu zake (tikiti lililokomaa na kuiva vizuri, mbegu huwa nyeusi)
8. Kula asali
9. Pendelea sea food - ngisi (squids/calamari), pweza (octopus), kamba (prawns)
10. Punguza kazi za nje
 
1. Acha POMBE - at least reverse the trend step by step
2. Acha mafuta ya KORIE & Like - Tumia Alizeti
3. Punguza stress - ni ngumu kidogo kwa mazingira ya sasa
4. Fanya mazoezi - hata kutembea tu
5. Jiepushe na moshi wa magari, hasa kwenye foleni za Dar
6. Kunywa maji ya kutosha, asubuhi na dk chache kabla ya kulala.
7. Kula matikiti maji - hasa mbegu zake (tikiti lililokomaa na kuiva vizuri, mbegu huwa nyeusi)
8. Kula asali
9. Pendelea sea food (ngisi - squids, pweza - octopus, kamba - prawns)

+punguza kazi za nje
 
Back
Top Bottom