Kijana usioe/kuolewa na mtu anaenyonya sehemu za siri

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,305
Habari zenu Wakuu,

Kama utataka kuoa/kuolewa nakushauri usikubali kufunga ndoa na mtu anaenyonya sehemu za siri.

Nitakupa sababu za kwanini usifanye hivyo, sababu zenyewe ni kama ifuatavyo,

1) Hawana nguvu za kiume ndio maana wananyonya ili kukufikisha kileleni kwasababu wao binafsi hawawezi kutumia uume.

2) Ni watu wenye uzinzi uliopindukia kiasi wanashindwa kujizuia.

3) Hawana heshima kwa muumba ndio maana wameigeuza sehemu ya kupitishia chakula kuwa sehemu ya kufanyia ngono.

4) Wana matatizo ya akili maana wanapingana na Madaktari kuwa ngono ya mdomo si salama.

5) Wanajaribu mambo sana, usije kushangaa siku akakuomba nyuma.

KATAA KUOLEWA/KUOA MTU ANAENYONYA SEHEMU ZA SIRI.

Mjanja M1 kwasasa napatikana Guangzhou China
 
Umechemka, usilolijuwa ni sawa na usiku wa Giza.

Mashangazi ndio wako na majibu wewe endelea kukaa gizani.
 
Back
Top Bottom