Hii ni kwa wale wote mashabiki na wapenzi wa legendary Tupac shakur
katika uwepo wake wa muda mfupi sana (miaka 5) ameweza kufanya mambo makubwa sana si kwenye music tu bali hata kwenye filam na mambo mengine ya kiharakati na kuwazidi hata wale aliokuwa nao na bado wanaendelea kufanya mziki kuacha wale upcomers artist.
Takriban ni miaka 19, je ni kipi toka kwake hutokisahau, ni filam gani unaikumbuka toka kwake (above the rim, gridlock)
ni nyimbo gani unaipenda toka kwake na uwezi sahau kwenye playlist yako hip hop
FUNGUKA
Unconditional love
me against the world
baby don't cry
picture me rolling
unborn child
smile feat scarface
r u still down (remember me)
only God can judge me
hailly merry
me & my girlfriend ñ da many mooore
yaaani huyu jamaa alikuwa ni sheeeedah
sipati picha kama angekuwepo
kuna movie yake inaitwa poetic justice alicheza na janeth jackson ni nzuri sana
Nyimbo kama happy home, words to my first born, changes, I wonder, only God can judge me, califonia luv, all eyez on me na do for luv nazikubari sana