2g gsm and 3g gsm sim cards

2g gsm and 3g gsm sim cards

Konzogwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2008
Posts
434
Reaction score
164
Wakuu nawasalimu. Naomba mnisaidie kujua hili: Nipo Hong Kong nimependa Android Tablet pc moja inayo support phone call. kinachonichanganya ni katika specification zake imeandikwa ina support 2G GSM SIM CARD, sasa kwetu Tanzania nimezoea kuona 3G na wala sio 2G.
Naomba mnisaidie kujua endapo nitainunua itaweza kutumika kwa mitandao yetu ya Tanzania? Natanguliza shukrani.
 
SIM card ni za aina moja, hiyo tablet itafanya kazi ila haitaweza kufikia speed za 3G ambazo zinapatikana baadhi ya maeneo Tanzania.
 
Wakuu nawasalimu. Naomba mnisaidie kujua hili: Nipo Hong Kong nimependa Android Tablet pc moja inayo support phone call. kinachonichanganya ni katika specification zake imeandikwa ina support 2G GSM SIM CARD, sasa kwetu Tanzania nimezoea kuona 3G na wala sio 2G.
Naomba mnisaidie kujua endapo nitainunua itaweza kutumika kwa mitandao yetu ya Tanzania? Natanguliza shukrani.

Itafanya kazi 2g ndo network ya simu za chini nyingi. Hebu nitajie jina la hio tablet kukupa maelezo zaidi
 
mkuu unaweza share bei kidogo? Maana tablet zinazo associate na hao naona sio famous sana.
 
kaka amazon kindle fire ipo ya usd 119 na usd 199 maramia ungechukua hzo... Pia znafahamika.. Na znatumia androids piaaaa
 
Fire yenye mobile internet ni $500 na haipigi simu, hautapata brand name tablet yenye 2/3G kwa $215, hiyo bei sio mbaya.
 
Nexus 7 haiwezi kupiga simu, ila ipo yenye 3G data
 
Nashukuru wakuu, kwa hapa ni saa moja sasa wacha njiandae nipitie shop.
 
Back
Top Bottom