2G, 3G, 4G na 5G maana yake ni nini?

2G, 3G, 4G na 5G maana yake ni nini?

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,623
Reaction score
8,427
  • Data

Katika sekta ya mawasiliano, ni kawaida kuwasikia wataalamu na wakati mwingine watu wa kawaida wakizungumzia kuhusu teknolojia ya 2G, 3G, 4G na 5G. Maana yake ni nini?
G kwenye tarakimu hizi inawakilisha 'Generation', yaani kizazi fulani cha teknolojia ya mawasiliano kwa kuangazia zaidi uwezo wa data kwenye simu.

Hakuna kipimo chochote kinachotumiwa kimataifa kuhusu kasi ya data ya simu.

Lakini wengi wanakubaliana kuhusu baadhi ya sifa za teknolojia hizi.

Teknolojia ya 1G, au kizazi cha kwanza cha data ya simu, ilianza kutumiwa 1991.

Teknolojia ya 2G ilianza pia kutumika katika kipindi hicho, ikiwa kama ndugu wa 1G.

Kwa 1G, ungeweza tu kupiga simu
Teknolojia hii sana ilikuwa analogu na simu za wakati huo zilikuwa kama hizi hapa chini.

Simu za zamani

Kisha 2G ikaja na uwezo wa kutuma ujumbe mfupi au arafa

Teknolojia ya 2G ambayo pia huitwa teknolojia ya SMS iliwezesha watu kutuma ujumbe mfupi.

Ungeweza pia kutuma ujumbe wenye picha, ambao uliitwa MMS (multimedia messaging service).

Na pia simu za wakati huo zilikuwa na teknolojia ya GSM, GPRS, EDGE kama hizi zilizo hapa chini.

Nokia

Kupiga simu kwa video kuliwezekana 2001

3G na kasi yake ya data ya 2mbit/s (megabaiti 0.25 kila sekunde) ilianza kutumika wakati ambao simu za kwanza aina ya smartphone zilianza kuuzwa madukani.

Huduma yake ya mtandao haikuwa ya kasi sana lakini iliwezesha huduma ya mtandao kupatikana bila kutumia nyaya. Angalau ilikuwa hatua fulani.
Na watu waliweza kupiga simu za video.

Ili kufahamu kasi yake au mwendo wake wa upole ulivyokuwa, iwapo ungetaka kupakua filamu ya ucheshi ya David Brent: Life on the Road kutoka kwenye iTunes, ingekuchukua saa tano kupakua faili hiyo ya 4.26GB.

2010 teknolojia ya 4G ikaanza kutumika

Teknolojia hii ya kasi iliwezesha kuanza kupatikana kwa michezo mingi kwenye simu na ya kiwango cha juu.

Filamu ambayo ingekuchukua saa tano kuipakua kwa teknolojia ya 3G sasa inaweza ikakuchukua dakika 8 pekee kwa teknolojia ya 4G.

Lakini 4G haipatikani maeneo yote, hata katika mataifa yaliyoendelea.
Afrika Mashariki, utaipata katika baadhi ya maeneo ya miji mikubwa.

5G ndiyo mwendo kasi?

Hii ndiyo ya kasi zaidi kwa sasa.
Tume ya Mawasiliano ya Ulaya inakadiria kwamba kati ya mwaka 2020 na 2030, utaweza kupakua filamu moja ya HD ya saa moja kwa sekunde sita pekee.

Simu za wakati huo nazo zitakuwa na muonekano gani? Kama hii hapa chini labda?
 
5G is 4 times faster than a blink of an eye.
 
Kweli teknolojia inakua kwa kasi zaidi
 
sijui 6G itakuwaje@ila 5G bado hata haijaanza kusambaa,labda kuanzia mwakani,kwasasa wanatumia wateule wachache sana
 
Hivi 4G ya Dar es salaam Tz iko sawa na 4G ya London UK? Au kasi ya 4G pia inatofautiana kutokana na service provider wanavyoamua? Kuna wakati natumia 4G ya voda ila mpaka najiuliza mbona kasi yake inakua ya kawaida sana tofauti na wanavyoandika mitandaoni au kasi ya internet inategemea na uwezo wa simu pia?

Umetoa mfano wa movie iliyokua inachukua masaa matano kwa 3G kwamba ukiwa na 4G inachukua dakika 8, sasa hapo ndio nashangaa sijawahi kupakua movie hata yenye ukubwa wa 1 Gb kwa dak 8 nikiwa na voda 4G
 
International Space Station, NASA, SpaceX and (Tesla).

2.9000gb/s

Facebook Inc. (Instagram, Oculus, Mozzeit, WhatsApp, Messenger), Tencent, Universal LLC (Studios, Music, Film, Publishing and co.), Time Warner (Warner Bros, LionsGate, Marvel Studios) and Co.

4X2 Times of 5G/s

Mercedes (Benz, AMG, Spricht and Co.), Doritos, Coca-Cola, Pepsi, IMG Studios ''Premier League/EPL inarushwa kutokea hapo pia husaidia Bundesliga na LaLiga'.

4X0 Times of 5G/s
 
Usifananishe internet za waya na mobile data ni vitu viwili tofauti.
 
Hivi 4G ya Dar es salaam Tz iko sawa na 4G ya London UK? Au kasi ya 4G pia inatofautiana kutokana na service provider wanavyoamua? Kuna wakati natumia 4G ya voda ila mpaka najiuliza mbona kasi yake inakua ya kawaida sana tofauti na wanavyoandika mitandaoni au kasi ya internet inategemea na uwezo wa simu pia?

Umetoa mfano wa movie iliyokua inachukua masaa matano kwa 3G kwamba ukiwa na 4G inachukua dakika 8, sasa hapo ndio nashangaa sijawahi kupakua movie hata yenye ukubwa wa 1 Gb kwa dak 8 nikiwa na voda 4G
Hapa nilipo voda 4g speed ni around 30mbps ambayo movie ya GB itachukua kama dakika 5 kuisha.

Sometime kudownload kitu si tu speed ya mtandao inayo determine bali pia website unayotumia kudownload (server), kama ipo slow haijalishi speed ya mtandao wako ipoje na download itakuwa slow.

Ni vyema kupima speed ukatumia website za uhakia, mfano mimi napenda kutumia youtube, ukidownload video ya youtube utajua speed ya mtandao wako kwenye kudownload.
 
Hivi 4G ya Dar es salaam Tz iko sawa na 4G ya London UK? Au kasi ya 4G pia inatofautiana kutokana na service provider wanavyoamua? Kuna wakati natumia 4G ya voda ila mpaka najiuliza mbona kasi yake inakua ya kawaida sana tofauti na wanavyoandika mitandaoni au kasi ya internet inategemea na uwezo wa simu pia?

Umetoa mfano wa movie iliyokua inachukua masaa matano kwa 3G kwamba ukiwa na 4G inachukua dakika 8, sasa hapo ndio nashangaa sijawahi kupakua movie hata yenye ukubwa wa 1 Gb kwa dak 8 nikiwa na voda 4G
Kuna kipindi nilisikia makampuni ya simu yanaleta 3.5G wanatudanganya ni 4G sasa sijui kama kuna ukweli a lah
 
  • Data
Katika sekta ya mawasiliano, ni kawaida kuwasikia wataalamu na wakati mwingine watu wa kawaida wakizungumzia kuhusu teknolojia ya 2G, 3G, 4G na 5G. Maana yake ni nini?
G kwenye tarakimu hizi inawakilisha 'Generation', yaani kizazi fulani cha teknolojia ya mawasiliano kwa kuangazia zaidi uwezo wa data kwenye simu.

Hakuna kipimo chochote kinachotumiwa kimataifa kuhusu kasi ya data ya simu.

Lakini wengi wanakubaliana kuhusu baadhi ya sifa za teknolojia hizi.

Teknolojia ya 1G, au kizazi cha kwanza cha data ya simu, ilianza kutumiwa 1991.

Teknolojia ya 2G ilianza pia kutumika katika kipindi hicho, ikiwa kama ndugu wa 1G.

Kwa 1G, ungeweza tu kupiga simu
Teknolojia hii sana ilikuwa analogu na simu za wakati huo zilikuwa kama hizi hapa chini.

Simu za zamani

Kisha 2G ikaja na uwezo wa kutuma ujumbe mfupi au arafa

Teknolojia ya 2G ambayo pia huitwa teknolojia ya SMS iliwezesha watu kutuma ujumbe mfupi.

Ungeweza pia kutuma ujumbe wenye picha, ambao uliitwa MMS (multimedia messaging service).

Na pia simu za wakati huo zilikuwa na teknolojia ya GSM, GPRS, EDGE kama hizi zilizo hapa chini.

Nokia

Kupiga simu kwa video kuliwezekana 2001

3G na kasi yake ya data ya 2mbit/s (megabaiti 0.25 kila sekunde) ilianza kutumika wakati ambao simu za kwanza aina ya smartphone zilianza kuuzwa madukani.

Huduma yake ya mtandao haikuwa ya kasi sana lakini iliwezesha huduma ya mtandao kupatikana bila kutumia nyaya. Angalau ilikuwa hatua fulani.
Na watu waliweza kupiga simu za video.

Ili kufahamu kasi yake au mwendo wake wa upole ulivyokuwa, iwapo ungetaka kupakua filamu ya ucheshi ya David Brent: Life on the Road kutoka kwenye iTunes, ingekuchukua saa tano kupakua faili hiyo ya 4.26GB.

2010 teknolojia ya 4G ikaanza kutumika

Teknolojia hii ya kasi iliwezesha kuanza kupatikana kwa michezo mingi kwenye simu na ya kiwango cha juu.

Filamu ambayo ingekuchukua saa tano kuipakua kwa teknolojia ya 3G sasa inaweza ikakuchukua dakika 8 pekee kwa teknolojia ya 4G.

Lakini 4G haipatikani maeneo yote, hata katika mataifa yaliyoendelea.
Afrika Mashariki, utaipata katika baadhi ya maeneo ya miji mikubwa.

5G ndiyo mwendo kasi?

Hii ndiyo ya kasi zaidi kwa sasa.
Tume ya Mawasiliano ya Ulaya inakadiria kwamba kati ya mwaka 2020 na 2030, utaweza kupakua filamu moja ya HD ya saa moja kwa sekunde sita pekee.

Simu za wakati huo nazo zitakuwa na muonekano gani? Kama hii hapa chini labda?
Vipi H na H+ ipo kundi gani?
 
Kuna kipindi nilisikia makampuni ya simu yanaleta 3.5G wanatudanganya ni 4G sasa sijui kama kuna ukweli a lah
Ilifanyika usa hiyo, Tanzania tuna 4g halisi, Hata sasa hivi tunavyoongea kuna 5G feki USA, wanaita 5G evolution ambayo ni lte advanced (TTCL na TIGO wanayo)
 
Hivi 4G ya Dar es salaam Tz iko sawa na 4G ya London UK? Au kasi ya 4G pia inatofautiana kutokana na service provider wanavyoamua? Kuna wakati natumia 4G ya voda ila mpaka najiuliza mbona kasi yake inakua ya kawaida sana tofauti na wanavyoandika mitandaoni au kasi ya internet inategemea na uwezo wa simu pia?

Umetoa mfano wa movie iliyokua inachukua masaa matano kwa 3G kwamba ukiwa na 4G inachukua dakika 8, sasa hapo ndio nashangaa sijawahi kupakua movie hata yenye ukubwa wa 1 Gb kwa dak 8 nikiwa na voda 4G

Pia nadhani eneo linahusika, mimi kuna mahali nikikaa inaonesha 4G lakini spidi inatofautiana nikiwa eneo lingine.

Naangalia mfano nikiwa maeneo ya Samora kule, huwa spidi si mchezo, file la 1 GB kwa dakika 5, wakati nikiwa mitaa mingine si ajabu dakika 20 zikavuka.
 
Hivi 4G ya Dar es salaam Tz iko sawa na 4G ya London UK? Au kasi ya 4G pia inatofautiana kutokana na service provider wanavyoamua? Kuna wakati natumia 4G ya voda ila mpaka najiuliza mbona kasi yake inakua ya kawaida sana tofauti na wanavyoandika mitandaoni au kasi ya internet inategemea na uwezo wa simu pia?

Umetoa mfano wa movie iliyokua inachukua masaa matano kwa 3G kwamba ukiwa na 4G inachukua dakika 8, sasa hapo ndio nashangaa sijawahi kupakua movie hata yenye ukubwa wa 1 Gb kwa dak 8 nikiwa na voda 4G
Mbona kwa Voda dk.8 nyingi net ikiwa fresh. Dk.5 tu au chini ya hapo kitu tayari kishadownload
Halafu pia kwenye 3G masaa matano mbona mengi sana,juzijuzi hapa nilijiunga na Halotel Ramadan Ofa nilidownload movie 30 kuanzia saa 6usiku-12 bila kusahau YouTube videos
Kinachowafavour Halotel ni kwamba wana ping ndogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom